Nadharia ya msemo huu inaendana na jinsi vile dunia inakwenda,ipo misemo ambayo mara utakapoenda nayo kinyume basi dunia yote inaweza kukuelemea!...
-Ni moja ya kanuni ambayo hutumiwa sana na cult mbalimbali.
HILI NIMEWAHI KULIZUNGUMZA SANA BAHARI INA UCHUMI MKUBWA SANA ULIOPITILIZA,TUPATE MELI ZA UVUVI 15 ZA KUVUA BAHARI KUU,VITOWEO VIUZWE KILA PAHALA KWA BEI NAFUU KILO 5000/- ,HAPA NCHINI NA WENGINE TULISHE MALAWI ZAMBIA ZIMBABWE KONGO MPAKA AFRIKA YA KATI,RWANDA BURUNDI/
KULIKUWA HATA HAKUNA...
Upinzani umesha tepeta,bw.heche hana sera anaropoka ropoka tu,hovyo hovyo,mara msipende mpira mara msipende music alimradi vurugu vurugu tu,
#lema yupo njia panda amekata tamaa,bw.lissu anasubiri hukumu yake,nashauri apewe hukumu ya kutojihusisha na maswala ya kisiasa kwa miaka kumi.
Endapo hakuta kuwa na el nino basi CAG Ajue zipo Quoted na umma wa watanzania watataka kuziona,zimerudi aidha zimefanya kitu gani au zilibadilishiwa matumizi zikaenda wapi?
Kwenye jamii kubwa ya watu wengi milion 70,kuna kila aina ya MATUKIO!,ubaya wa binadamu huyu hautabiriki na kuuzuia by 100% imeshindikana mpaka huko America na canada!
#Hata kenge chadema wakishika nchi kutahakikishia security kwa 100% HAWATAWEZA kamwe!...
Ujerumani ni nchi ndogo kwa ukubwa wa ardhi,upotevu wa watu kwa mwaka ni watu 100,000 kumbuka ni nchi yenye tecnolojia za kiusalama za hali ya juu,
Tanzania na ukubwa wake watu hawapotei 25 kwa mwaka,pamoja na uduni wa tecnolojia za kiusalama kulinganisha na ujerumani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.