Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 27,824
- 80,783
We shauri lako๐Aaaaaah mapema najihami... ๐๐๐๐๐๐
Wateja watakukwepa watahisi utawagongea wake zao!
We shauri lako๐Aaaaaah mapema najihami... ๐๐๐๐๐๐
Kakaako ndege anatafuta kaziKuna kazi ya kubeba mafuta na kutembeza upo tayari...๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ,Leo Sina raha na simu macho yananiuma sana,,Weweee unaposema viroba umenikumbusha mbali aiseeee...
Hivi unajua kazi ngumu ndo zinaongoza kwa mishahara ya kisheeeenziiiiiii ๐๐๐๐๐๐๐๐
Khaaa jamni jamni... ๐คฃ๐คฃ๐คฃWe shauri lako๐
Wateja watakukwepa watahisi utawagongea wake zao!
Swa bana uje nikupe na story ya devowoshipu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ,Leo Sina raha na simu macho yananiuma sana,,
Nitarudi uniadithie๐คฃ
Kipindi nasoma chuo nilianza biashara ndogo online, miaka hiyo ukipost kitu lazima uuze, mteja akiniomba animuandikie vitu alipie nachangamka kama nimetiwa ndimu!Khaaa jamni jamni... ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ndio kaka, nafunga nyororo bodaboda na bajaji zikipaki vibaya mjiniVishu kitambo sana hvi upo una fanya nn skuizi maana mara ya mwisho niliskia upo almashauli kitengo cha kukamata watu
Nipo tayari tajiriKuna kazi ya kubeba mafuta na kutembeza upo tayari...๐๐
Titapigana humu ndani ujue ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐Kipindi nasoma chuo nilianza biashara ndogo online, miaka hiyo ukipost kitu lazima uuze, mteja akiniomba animuandikie vitu alipie nachangamka kama nimetiwa ndimu!
Vijana sikuhizi sijui mkoje tu.
Karibu sana mdogo angu...Nipo tayari tajiri
Wewe ni devowoshipuNdio kaka, nafunga nyororo bodaboda na bajaji zikipaki vibaya mjini
Nimekuja Sasa๐คฃ,Swa bana uje nikupe na story ya devowoshipu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hongera sana mkuu,nitakuwa mteja wako mkubwa hapo,""Piga kazi acha zungusha mikono ya chadema""๐พ AM GRAIN STORE - CHANIKA ๐พ
Tunauza NAFAKA BORA jumla na reja reja kwa bei nafuu!
๐ Tupo: Chanika, Dar es Salaam
๐ฆ Tuna: Mahindi, Maharage, Mchele, Mafuta, Unga, nk.
โ Bei ya jumla kwa wafanyabiashara
โ Bei ya reja reja kwa matumizi ya nyumbani
โ Ubora umehakikishwa
โ Tunafanya na delivery ndani ya Chanika na maeneo jirani ya dar es saalam
Wasiliana nasi sasa: 0675545795
Karibuni sana ๐ Familia ya Jamii forum ku Sapport biashara ya kijana yenu
Vishu Mtata
View attachment 3647045
Nimekutag kule tayari ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐na wewe ukachekeNimekuja Sasa๐คฃ,
Nipe story
Hii inaitwa akufukuzae hakuambii TokaKaribu sana mdogo angu...
Je unaweza tembesha gari na una leseni
Nitafurahi ikiwa hivyo karibu sana mkuu karibu mno aiseeeeHongera sana mkuu,nitakuwa mteja wako mkubwa hapo,""Piga kazi acha zungusha mikono ya chadema""
Ahahahaha hapana nataka mtu wa Derivary pia si unajua tenaHii inaitwa akufukuzae hakuambii Toka
Nimeona๐คฃ๐คฃ๐คฃNimekutag kule tayari ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐na wewe ukacheke
Kuna jambo naomba nisaidie..Nimeona๐คฃ๐คฃ๐คฃ
You bera watch ur backk! Stay back boyer!Titapigana humu ndani ujue ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐