Recent content by Crazy genius

  1. C

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Uliza jukwaa huku hakuna ushauri kuna discussions za legal matters karibu tena.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Soma thread vizuri
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Tatizo la kutojiamini ninapokuwa naongea mbele za watu

    Kunywa kiroba huta jutia ila angalia huwa ina leta over confidence [emoji23] utani
  4. C

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha. Chama chake chataka Polisi waseme alipo

    Au mzee wa gwanda ameanza kazi kimyakimya bila kuapishwa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha. Chama chake chataka Polisi waseme alipo

    Tunaenda mbele hatua tano tunarudi nyuma hatua kumi, ila tutafika tuu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha. Chama chake chataka Polisi waseme alipo

    Yamekuwa ya kutekana tena picha linaendelea si watazamaji
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia leo situmii tena kondomu, nitaenda dry hadi mwisho

    Group zuri wanakuja kujiunga mm napita tu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Habari zenu wanajamvi, nimevutiwa na bidhaa za kikuu katika mtandao wa FB. Lakini kinachonipa mashaka hawako tayari wajulikane wako wapi? Msaada kwa mtu ambaye ameshanunua bidhaa katika App hii, nisije ingia kwenye DECI tena.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vibanio vya nguo vinapotea hata ukivihifadhi kwa umakini mkubwa?

    Kila kitu kina expire date mpaka uandikiwe? Vikidumu milele viwanda vitafungwa
  10. C

    JamiiForums Tanzania Gari Inauzwa

    Hilo tope ni hali nzuri kweli osha basi
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wanaohitaji pikipiki na bajaji kwa bei poa kuliko kote tanzania.

    Mambo haya ndio hatuyataki jr sababu unatangaza biashara halafu bei huweki nini maana yake? Weka bei ya hizo bajaj na pikipiki tukuletee pesa.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tecno Boom J8 kwa Dar es Salaam inauzwa bei gani wadau?

    Hata huku ukija kichwa kichwa utapigwa pia kuwa makini
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nikon Professional Camera za kisasa kwa bei nafuu sana

    Tupe hizo za agent wa kongo kwa aina na spec kama hiyo tusije chezea za uso
Back
Top Bottom