Nikon Professional Camera za kisasa kwa bei nafuu sana

router

Member
Mar 23, 2016
88
72
Habari wadau.

Nina Nikon Professional Camera za kisasa nina ziuza kwa haraka bei ndogo sana.

D3300, D5100, D5200.

Atakaye hitaji aje PM au piga namba hii 0758 020250
Karibuni sana.
 

Attachments

  • IMG-20160427-WA0003.jpg
    IMG-20160427-WA0003.jpg
    38.4 KB · Views: 192
  • IMG-20160427-WA0004.jpg
    IMG-20160427-WA0004.jpg
    36 KB · Views: 174
  • IMG-20160427-WA0005.jpg
    IMG-20160427-WA0005.jpg
    32.6 KB · Views: 138
  • IMG-20160427-WA0006.jpg
    IMG-20160427-WA0006.jpg
    32.6 KB · Views: 146
Habari wadau.

Nina Nikon Professional Camera za kisasa nina ziuza kwa haraka bei ndogo sana.

D3300, D5100, D5200.

Atakaye hitaji aje PM au piga namba hii 0758 020250
Karibuni sana.
b6e0b4af11be5b0b724c182affa76016.jpg


2a5fcfb3d54066d7b0edce9944f2eed9.jpg


fbd17872c2e09c35ce48cfba102a1845.jpg


Specifications zake hizo hapo
 
Hizi ni mpya kabisa , bei zinaanzia D5200 - 1,050,000/ D5100 - 1,000,000/ D3300 - 900,000/
bei zinaweza kupungua.
 
Daa!, bei zako zipo juu kuliko za agent wa Nikon pale kongo Dar!.

Kaka inawezekana haujatembelea hapo hv karibuni, hizi bei ni nafuu mno, na kama una hitaji kweli nimesema uje PM bei yaweza kupungua kidogo.
 
Ninavyoijua Nikon kwa bei hizo nadoubt kama ni legit! Hizo zaweza kuwa za mchina na badala ya Nikon ikaandikwa Nicon
Kwa nini udoubt kaka, me nipo kama kweli unahitaji sema, utaletewa, utaikagua ukiridhika unailipia.. sasa hofu inatoka wapi kaka? Hizi ni original Made in Thailand.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom