Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Habar zenu wakuu!
Naomba kuuliza ni hatua zipi za kuchukua ili kubadili jina kwani kuna mdogo wangu alimaliza shule akafaulu kwenda sekondaru lkn kwa kipindi hicho ulikuwa mdogo na shule ilikuwa ya kata hivyo alipekwa soma Kenya kwa miaka mitatu baadaye akarudi soma Tanzania.

Alirudia primary akapewa jina la mtu mwengine je anaweza kwenda mahakamani ku- retain his original names?
Naombeni kama inawezekana anatakiwa kuchukua hatua zipi!
Regards.
 
Soma thread vizuri
 
Naomba msaada kuvipata vitabu hivi

1. Dobson A.P. sales of goods and consumer credit. Sweet and Maxwell: London

2. Griffith M&I Griffith (2002). Law of purchasing and supply(3rd ed). PL. London

3. Binamungu C.S (2000). Business Law: Manual for students: Dar es salaam

Mwenyenavyo tafadhali anitumie...Mwakeyeddy@gmail.com
 
NAOMBA TAFSIRI section35 of the employment and labour relations Act ,je mfanyakazi aliemaliza muda wa mkataba wake wa mwaka 1na kuongezewa mkataba mpya wa mwaka 1 ,akafukuzwa kwa kosa lililotokea kwenye mkataba wa awali akiwa ameshatimiza miezi 2 kwenye mkataba mpya anaweza kufungua shauri la kufukuzwa pasipo haki au kila mkataba anahesabika kama mfanyakazi mpya? NA BREACH OF EMPLYMENT CONTRACT INAFUNGULIWA KWA SHERIA GANI NA PROCEDURE ZIPI?
tafadhali jibu ukiwa umesoma sub part e of the ELRA ESPECIALLY SECTION TAJWA HAPO JUU together with other sect there under
 
Back
Top Bottom