Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

Crazy genius

Member
Apr 26, 2016
44
34
Habari zenu wanajamvi, nimevutiwa na bidhaa za kikuu katika mtandao wa FB. Lakini kinachonipa mashaka hawako tayari wajulikane wako wapi?

Msaada kwa mtu ambaye ameshanunua bidhaa katika App hii, nisije ingia kwenye DECI tena.
 
Nimeshanunua kwao vitu vingi sana kuanzia viatu, nguo, wallet, etc. Wako poa sana unaletewa hadi mlangoni ila tu uwe na subira unapoagiza maana inachukua ten day and above ndo unapata mzigo wako. Pia wako vizuri sana kwenye quality of product. Binafsi siingii tena boutique za bongo tangu nilipowafahamu hawa jamaa.
 
Una pay kwanza fully??

Hawana magumashi???
Hawana Magumashi Mi nimenuna Vitu kibao Including saa Ya Ukutanj
c3d6de2e19c7294e694db3bccba9b7f5.jpg
dd07d1c8028f9c1b7db30c6bd9a5e806.jpg
 
Nimeona nipate tahadhari kwa wanaotumia au waliowahi kutumia Jumia au Kikuu kununua Bidhaa mbalimbali.

1. Naomba kwa mnambie uhakika wa kupata bidhaa ukichukulia natakiwa nitume pesa kwanza.tena yote.

2. Je inachukua muda gani mimi kupata mzigo? Maana sijajua mzigo unatoka wapi na nawezaje kufuatilia.

3. Je linapokuja suala la kurudisha bidhaa inakuaje? Au hawa kikuu naweza wapata wapi physically?

Ni hizo tahadhari nlizotaka nichukue kabla ya kununua maana kuna bidhaa nmeipenda ila sijawah tumia haya maduka ya online.
 
Kuna kipindi nliwahi kuagiza mizigo kupitia kikuu mwaka jana ila ilikua unalipa mzigo mpaka ukufikie na uuhakikishe ndio unalipa. Sasa cjui cku hzi conditions zao zkoje.
 
Kwa kikuu unalipa kwanza then within 10 days mzigo unaletewa ulipo na kama kuna any delay unapewa info. Na mzigo unatoka China straight na Tz wana courier/delivery centre kama office zao I bought some stuffs from there more than thrice the service was great to me. Over.
 
Kwa kikuu unalipa kwanza then within 10 days mzigo unaletewa ulipo na kama kuna any delay unapewa info. Na mzigo unatoka China straight na Tz wana courier/delivery centre kama office zao I bought some stuffs from there more than thrice the service was great to me. Over.

Ungeeleza hizo courier/delivary zao ziko wapi ili mdai aende pale akajiridhishe.
 
Back
Top Bottom