Recent content by cpakati

  1. C

    Mheshimiwa Juma Nkamia

    ukiona mtu anajadiliwa sana jamii forum ujue huyo ni threat kwa ustawi wa chadema hivyo basi mnaoongelewa vibaya humu ndani mjue nyinyi ni hatari sana kwa uhai wa chadema nawasilisha
  2. C

    Picha: MTANGAZAJI JOYCE KIRIA AOMBA AFAHAMISHWE ALIPO MUMEWE HENRY KILEO..

    KAIMU Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, anashikiliwa na polisi kwa siku ya tatu leo, akihusishwa na tukio la kumwagiwa tindikali, Musa Tesha. Tesha alimwagiwa tindikali na watu wasiojulikana Septemba 9, mwaka juzi kwenye kampeni...
  3. C

    Upendeleo nssf

    husistaajabu tu ya nssf staajabu pia ya udsm, mwl nyerere university, tbs, tasaf, tfda, tanesco, nhc,cbe, tigo, airtel, shirika la elimu kbh na mengne ww hujaenda kudai mafao ww ni mfanyakzi wa nssf husitake kuwaona watu hawana akili unatoa maelezo ya kuzunguka sasa hivi kila mtu yupo macho...
  4. C

    Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

    tatizo kila mtu anajifanya yy ni mr clean mi naomba chadema waonyeshe mkanda wavideo ambao utaonyesha kila kitu hata muharifu alipokuwa anajiandaa kurusha bomu na nadhani waandishi wa habari wa habari walikuwepo nao watusaidie km video ya mwangosi kuuwawa ilipatikana kwa nini ktk hili...
  5. C

    Mbowe: Tukio la mlipuko lina mambo mengi ndani yake

    Kweli kuwa ndani ya CHADEMA ni kama kuwa ndani ya gereza la fikra-fact
  6. C

    Sababu za Zanzibar kudai Uhuru na hisia za udini Tanzania.

    ww huwezi watetea wa zenji hata siku moja kwanza unauwezo gani mbulula ww tena mdini sana ww. Ww umetumwa na maaskoffu tunazijua sana mbinu zenu MNATUMIA wabunge, reg mengi,media NA CHADEMA
  7. C

    Kashfa ya vyeo Polisi: Udini, Ukabila, Urafiki, Undugu, rushwa vyatumika...

    udini ukabila urafiki na rushwa ndo unaonekana sasa hv kpnd cha jk watu wamepiga kelele muda sana lkn wanabezwa hawana elimu sasa mnalalamika nini haya yote sio jk hv kpnd waislamu walipochinjwa km kuku mwembe chai nani kasahau
  8. C

    Arusha: Aliyerusha bomu alikuwa kavaa kanzu nyeupe na koti la Mvua la Kahawia

    huu ni mkakati wa watu wenye akili zao timamu kabisa ionekane waislamu ni watu wabaya na uislam ni mbaya ni dunia yote na ndio mana unaona itv mijadala haiishi kuikosoa serikali. Nia kuhakikisha padri slaa anachukua nchi ili tz iwe rome ya pili
  9. C

    Kauli ya Maaskofu kwenye Kikao na Rais Jakaya Kikwete kilichofanyika Ikulu 23.04.2013

    eti oh 2015 mchague mkristo kuanzia nyumba hadi taifa bila ya kujali chama kisa si umeona wanachoma makanisa. Waraka kwa waumin wa kikristo ktk uchaguz 2010, na katiba na ukisoma hz nyaraka mwenye akili unajua mbona maaskofu hawajampelekea jk. Hv udn upo udom au pia udsm, ifm, mzumbe, mwl...
  10. C

    Idara ya elimu sekondari bagamoyo imezidi ufisadi

    Idara ya Elimu Sekondari imezidi ufisadi nusu ya walimu wapya hatujapata salary hadi sasa, hela zetu za kujikimu tumepewa nusu walimu wanasimamishiwa mishahara kienyeji na hela zinaliwa na deo na watumishi wengne wa halmashauri
  11. C

    Walimu wapya hatuna mishahara

    ni bagamoyo ambako rais watu wa halmashauri ni corrupt idara zote hii ya elimu sekondari ndo imeoza kabisa hela ya kujikmu wamekatwa na kuambiwa wao wenyewe wamepewa pungufu mwez nusu ya walimu walioajiliwa wapatao 54 hawapo kwenye payrol
  12. C

    Bagamoyo wamegewa neema nyingine

    mmetumwa na kanisa nyny kumbe mna roho mbaya mnajifinya kwenye vyama lema na 30
  13. C

    Wahadhiri UDSM Waongelea tatizo la Udini

    hapa ninachokiona ni kwamba wahadhiri, jamii forum founders na wachangia mada wote wamelewa na udini ebu tuangalie utawala wa udsm, school zake, college zake na department katika misingi ya dini na ukabila halafu tutapata jibu siku hizi watz wanafanya analysis sio wanaongea tu. tatizo ni kwamba...
  14. C

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    umeielewa MoU au Dr. Slaa sehemu ya MoU imesema government shall provide financial assistance au macho yana matongotongo
  15. C

    Gazeti la kikiristo la 'Nyakati' ni zaidi ya Annur na Redio Imaan kwa uchochezi

    ng'ombe achinje kibwana mtoto wa mfalme bana hawa jamaa wachochezi sana tena uchochez wao ni wachn chn hadi uwe na jicho la tatu nashangaa kwa nini serikali haiwaaniki. jamii forum imeanzshwa na mchaga mkristo na kazi yake tunaiona ni zaid ya uhamsho lkn nani anaongea kuhusu jamii forum ndio...
Back
Top Bottom