Idara ya elimu sekondari bagamoyo imezidi ufisadi

Idara ya elimu sekondari bagamoyo imezidi ufisadi

cpakati

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
31
Reaction score
1
Idara ya Elimu Sekondari imezidi ufisadi nusu ya walimu wapya hatujapata salary hadi sasa, hela zetu za kujikimu tumepewa nusu walimu wanasimamishiwa mishahara kienyeji na hela zinaliwa na deo na watumishi wengne wa halmashauri
 
Poleni ....huko si ndio jimboni kwa mheshimiwa....
Subirini bandari iishe!!!
 
CCM, CCM, CCM.....huko hata madiwani wote ni magamba tu Halmashauri lazima iwe uozo
 
Idara ya Elimu Sekondari imezidi ufisadi nusu ya walimu wapya hatujapata salary hadi sasa, hela zetu za kujikimu tumepewa nusu walimu wanasimamishiwa mishahara kienyeji na hela zinaliwa na deo na watumishi wengne wa halmashauri
Tangu lini wakre wakathamini elimu, njoo mikoa inajua maana ya elimu hizo shida hamna kabisa. Ukiendelea kulalamika wata ku-Jerry Muro. hiyo ndo bagamoyo bana!
 
Back
Top Bottom