Upendeleo nssf

Upendeleo nssf

Status
Not open for further replies.
Hovyo!Kumbe wewe umetishwa na shungi?Mimi mbona ofisi nyingi tu za serikali nakaribishwa na Gospel music kwa sauti kubwa tu lakini sijali nafuata kilichonipeleka hapo then naendelea na safari yangu? Ukiona unanyanyasika kuishi kwenye nchi yenye imani tofauti za kidini nenda ukaishi VATICAN mdini mkubwa wewe!Huna haya?

Jamani sio wakristo wote ni wakatoliki kwa hiyo usi ihusishe VATICAN kama huna uhakika huyo unae msema ni mkatoliki! Tuheshimiane kama mwanzo Jama! Upuuzi aliouandika huyo na research yake anayojua mwenyewe dili nae peke yake!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Samahani mkuu kwa kukukwaza na neno vatican, si kusudio langu kuwakashifu wakatoliki nimeichukulia vatican kama nchi yenye watu wa dini moja tu na si vinginevyo. Samahani sana mkuu!!
 
Jamani kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hali ndani ya nssf.hi ni kutokana na uhalisia unapoingia tu ofc yoyote ya nssf hasa hapa dsm.nilipata kwenda ubungo kwa ajili ya kudai hela zangu.welcome note pale ni shungi.bada ya kufuatilia kwa karibu niligundua kuwa ndani ya nssf udini umetamalaki.hii imesababisha hata utendaji kazi kudorora kutokana na upendeleo kwa kundi flani la watu.ajira ni kwa msingi huo huo kwamba kila ajira 100 basi 90 wanapewa watu wa itikadi flani.haya yote kwa utafiti wangu una baraka zote za mkuu eti ndo ku balance.my take,kama nssf shirika la uma wa watanzania wote tunachangia basi nawashauri watu wa imani ya kikristu aidha kutokujisajili na nssf au hata kushiriki shughuli zozote za nssf.

hili suala inawezekana ni kweli, bcoz ni ya NNE watu wanakuja kulalamika hapa JF kuhusu Udini wa NSSF
 
hata misikiti yenyewe hamuwezi kujenga hadi ajitokeze gadaf awasaidie.nguvukazi yenu imeishia kujidunga madawa na ndo laana mtakazopata siku si nyingi mtachinjana wenyewe.chezea bangi na heroin
Kuna aina ya kivita huitwa Drug Warfare; hivi ni vita ambavyo adui yako anakuingiza katika utumiaji madawa ya kulevya kimakusudi kwa njia mbalimbali kama vile kufumbia jicho uingiaji wa madawa katika maeneo yenu.

Akishakuingiza katika utumiaji wa madawa ina maana kuwa tayari amekufanya wewe huna faida yoyote kwa jamii yako na ni mzigo vilevile kwa jamii, kwisha khabari yako!.

Jamii ya waislamu Tanzania tunahitaji vijana wafanye kazi ili kulisha familia zao kitendo ambacho kitatupunguzia idadi ya masikini ndani ya waislamu, wawe na uwezo wa kutoa sadaka ili zitusaidie kuzitumia kwa shughuli mbalimbali za kimaendeleo, kuwasitiri watoto wa kike waliojazana majumbani kwa njia ya ndoa...sasa kama wameingizwa katika uteja vitu hivi vyote tutavikosa katika jamii na zaidi itakuwa wantuongezea mzigo.

Tatizo hili la vijana kuingia katika madawa ya kulevya lipo na ningependa kuona wataalamu wa Kiislamu wa ki-Tanzania (wao ndio wanaoijua vizuri jamii) wakilifanyia utafiti wa kina suala hili kutupatia majibu stahiki na suluhisho.
 
Jamani kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hali ndani ya nssf.hi ni kutokana na uhalisia unapoingia tu ofc yoyote ya nssf hasa hapa dsm.nilipata kwenda ubungo kwa ajili ya kudai hela zangu.welcome note pale ni shungi.bada ya kufuatilia kwa karibu niligundua kuwa ndani ya nssf udini umetamalaki.hii imesababisha hata utendaji kazi kudorora kutokana na upendeleo kwa kundi flani la watu.ajira ni kwa msingi huo huo kwamba kila ajira 100 basi 90 wanapewa watu wa itikadi flani.haya yote kwa utafiti wangu una baraka zote za mkuu eti ndo ku balance.my take,kama nssf shirika la uma wa watanzania wote tunachangia basi nawashauri watu wa imani ya kikristu aidha kutokujisajili na nssf au hata kushiriki shughuli zozote za nssf.

wewe kweli ---- kwani leo ndo umejuwa waislamu nchi hii wamenyanyaswa vya kutosha?????basi na waislamu wajitoe kwenye mashirika yanayoongoza kwa kuajri wakristo tu any way its too late waislam sasa wamezinduka na ss kazi kwenu
 
Jamani kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hali ndani ya nssf.hi ni kutokana na uhalisia unapoingia tu ofc yoyote ya nssf hasa hapa dsm.nilipata kwenda ubungo kwa ajili ya kudai hela zangu.welcome note pale ni shungi.bada ya kufuatilia kwa karibu niligundua kuwa ndani ya nssf udini umetamalaki.hii imesababisha hata utendaji kazi kudorora kutokana na upendeleo kwa kundi flani la watu.ajira ni kwa msingi huo huo kwamba kila ajira 100 basi 90 wanapewa watu wa itikadi flani.haya yote kwa utafiti wangu una baraka zote za mkuu eti ndo ku balance.my take,kama nssf shirika la uma wa watanzania wote tunachangia basi nawashauri watu wa imani ya kikristu aidha kutokujisajili na nssf au hata kushiriki shughuli zozote za nssf.

Kajipange upya halafu urudi, huna hoja, we umeogopa ushungi tu!
 
Mleta maada ni mdini namba moja, watu wa aina ya huyu mleta mada ni maadui wakuu wa amani ya tanzania. Kwa kawaida hijabu tano hung'ara kuliko vimini miambili. Kofia moja ya ustazi huonekana kuliko suti na vichwa wazi elfu. Tuache tabia hzi kama za mleta mada, tuweni wamoja. Kwa ujumla mleta mada ana chuki binafsi na ana wivu dhidi ya uislamu
 
Jamani kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hali ndani ya nssf.hi ni kutokana na uhalisia unapoingia tu ofc yoyote ya nssf hasa hapa dsm.nilipata kwenda ubungo kwa ajili ya kudai hela zangu.welcome note pale ni shungi.bada ya kufuatilia kwa karibu niligundua kuwa ndani ya nssf udini umetamalaki.hii imesababisha hata utendaji kazi kudorora kutokana na upendeleo kwa kundi flani la watu.ajira ni kwa msingi huo huo kwamba kila ajira 100 basi 90 wanapewa watu wa itikadi flani.haya yote kwa utafiti wangu una baraka zote za mkuu eti ndo ku balance.my take,kama nssf shirika la uma wa watanzania wote tunachangia basi nawashauri watu wa imani ya kikristu aidha kutokujisajili na nssf au hata kushiriki shughuli zozote za nssf.

Hao wanaopiga domo wanachangia!!!! ile ni kwamba hawa wanamsalaba wakishift inakufa...watendaji wanaweza kuwa hao unaosema lakini customers still the big boss here...Sie waislam tuna bonga sana lakini mambo yako waziii tuu
 
Jamani kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hali ndani ya nssf.hi ni kutokana na uhalisia unapoingia tu ofc yoyote ya nssf hasa hapa dsm.nilipata kwenda ubungo kwa ajili ya kudai hela zangu.welcome note pale ni shungi.bada ya kufuatilia kwa karibu niligundua kuwa ndani ya nssf udini umetamalaki.hii imesababisha hata utendaji kazi kudorora kutokana na upendeleo kwa kundi flani la watu.ajira ni kwa msingi huo huo kwamba kila ajira 100 basi 90 wanapewa watu wa itikadi flani.haya yote kwa utafiti wangu una baraka zote za mkuu eti ndo ku balance.my take,kama nssf shirika la uma wa watanzania wote tunachangia basi nawashauri watu wa imani ya kikristu aidha kutokujisajili na nssf au hata kushiriki shughuli zozote za nssf.

mkuu ulitaka ukaribishwe na nini..???! vi min skirt mapaja njenje.... nywele za kubandika ! msalaba ukutani.. na computer kwa mbali ikipiga sebene la yesu!.....

hebu ficha upumbavu wako basi ..
 
hata na wewe kuhimiza wakristo kujitoa ni udini pia! Kama wao walivyohimizana kuwekana huko!
Maana yake unachomaanisha ni kuwa wakristo na sisi tutafute shirika letu sio?? Tutakuwa na tofauti gani na wao?

husistaajabu tu ya nssf staajabu pia ya udsm, mwl nyerere university, tbs, tasaf, tfda, tanesco, nhc,cbe, tigo, airtel, shirika la elimu kbh na mengne ww hujaenda kudai mafao ww ni mfanyakzi wa nssf husitake kuwaona watu hawana akili unatoa maelezo ya kuzunguka sasa hivi kila mtu yupo macho pu...fu we
 
Hata na wewe kuhimiza wakristo kujitoa ni Udini pia! Kama wao walivyohimizana kuwekana huko!
Maana yake unachomaanisha ni kuwa wakristo na sisi tutafute shirika letu sio?? Tutakuwa na tofauti gani na wao?

Kwahiyo mkuu ungeshauri nini kifanyike hapa?
 
ni kweli nasikia hako kamkurugenzi ni kadini sana. Kuna jamaa zangu kibao wakristu wameacha kazi hapo na kutafuta kazi sehemu nyingine hii na manyanyaso ambayo walikuwa wakiyapata eti kwa sababu wao si waislam

Nikumbushe mkurugenzi mwenyewe anaitwa nani tena?
 
Jk alikuja wabana, wakristu, wa kaskazini, na wachaga specifically....mwenyewe anadai bila kuweka usawa "Amani haitakuwepo"...Hao ndio watu walioshindwa jenga jamii wakachagua njia rahisi ambayo ni kubomoa, wanapiga mkwara kuwa bila usawa wataivunja amani.

Usawa utapatikana lini angali elimu ya wenzetu hawa ndo ivo wachache ndo wamesoma?
 
Jamani kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hali ndani ya nssf.hi ni kutokana na uhalisia unapoingia tu ofc yoyote ya nssf hasa hapa dsm.nilipata kwenda ubungo kwa ajili ya kudai hela zangu.welcome note pale ni shungi.bada ya kufuatilia kwa karibu niligundua kuwa ndani ya nssf udini umetamalaki.hii imesababisha hata utendaji kazi kudorora kutokana na upendeleo kwa kundi flani la watu.ajira ni kwa msingi huo huo kwamba kila ajira 100 basi 90 wanapewa watu wa itikadi flani.haya yote kwa utafiti wangu una baraka zote za mkuu eti ndo ku balance.my take,kama nssf shirika la uma wa watanzania wote tunachangia basi nawashauri watu wa imani ya kikristu aidha kutokujisajili na nssf au hata kushiriki shughuli zozote za nssf.

Kuna mpango wa kuichukua na TRA, MAANA PALE PANA UKASKAZINI NA ugalatia !
 
Du mapovu yanawatoka boko haram,alkaida na alshabab.kwa wale wa mrengo wa kivatcan kaeni chonjo jumapili makanisani msijelipuliwa maana hawa jamaa washapandisha majini yao humu.astakafurlah.mmeambia udini wenu sasa mapovu mdomoni angalia msijepata kifafa

ambrosi upo? kumbe hata mahabusu unapata network, tangu uwe ndani makanisa yanapumua. askofu wetu anataman utoke uje ulipue na hapa kwetu.
 
Ina maana Kwani Parokiani kwenu mliambiwa Mwisho ofisi moja waislam wanatakiwa wawe wangapi? Uliishia kutazamq Hijab zao ukasahau kujiuliza kama wanazo sifa au la? Tukikuuliza utupe Idadi ya vimini unaweza kutusaidia, siku nyingine tambua Haki yako na ya hao wenye Hijabu ni sawa, kama kuhoji uhoji kama utakuta Hijabu hizo zipo Miradi ya kanisa sio miradi ya Umma, Acheni Roho mbaya mbona waislam wakifika Maofisin hawahesabu Misalaba wala vimini wala kufatilia wangapi wanatumia computer za ofisi kuimbia kwaya wala bajet za Serikali kupamba sikukuu za kidini, mnajifanya kutangaza upendo kumbe roho zenu zina sugu za Chuki!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom