Mheshimiwa Juma Nkamia

Mheshimiwa Juma Nkamia

Status
Not open for further replies.
Kuna wachangiaji hapa tunawaona kuwa mna busara, lakini inafika mahali tunatia shaka,ujinga huu wa kutetea jambo eti tu kwa kuwa aliyekosea yuko upande wako ndiyo unayoifanya nchi hii iendelee kuwa hapa tulipo,

The Trouble With The World Is That,
The Stupids Are Full Of Confidence
And
The Intelligents Are Full Of Doubts.
 
ilisemwa hapa jukwaani pia mheshimiwa huyu haipendi jamii forums.

ukiona mtu anajadiliwa sana jamii forum ujue huyo ni threat kwa ustawi wa chadema hivyo basi mnaoongelewa vibaya humu ndani mjue nyinyi ni hatari sana kwa uhai wa chadema nawasilisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom