Recent content by Cowman

  1. Cowman

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji hatari wa Tv kuanzia Inch 60

    Wataalamu wanakwambia kusafirisha hivi ni salama kuliko kutumia kirikuu.
  2. Cowman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabraza Mlioa Njoo NIWASANUE:- Hivi ndivyo mabraza wenzenu wavyowafanyia wake zenu huko Marathon..!!!

    Aliyet*mbwa mwenyewe ametuliwa, wewe uliyet*mbewa nini kinakuwasha wakati mzigo si wako.
  3. Cowman

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujitoa kwenye Kampuni kama share Holder (Msaada)

    Kwa kuwa siku hizi kampuni husajiliwa online, pia unaweza kujitoa wewe mwenyewe. Aliyesajili kampuni au mwenye access ya kuingia BRELA ORS itabidi aanzishe maombi ya kuondoa shareholder then BRELA wataaprove.
  4. Cowman

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    M Moisture ni kisanga hasa kwa mahindi ya Songea, Mchina jana alikuwa anataka 14 nina mzigo unasoma 18🥺. Na bei zinazidi kushuka!
  5. Cowman

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    It's good to learn from your mistakes, but it's better to learn from other people's mistakes. Let's keep learning! Failure is simply the opportunity to begin again. Never Give Up👊🏻
  6. Cowman

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Barbershop kwa mtaji wa milion 20 inalipa sana

    Kunyoa TZS 10k halafu upate location yenye frame TZS 250k?.
  7. Cowman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake nisikilize, Mapenzi tu hayawezi kumbakiza mwanaume

    Haya mambo wala hayana formula, date or oa mwanamke unayeona anakufaa. Uchagua sana utapata kimeo, no one is perfect!
  8. Cowman

    JamiiForums Tanzania Credit Officers

    Typing error mkuu.
  9. Cowman

    JamiiForums Tanzania Credit Officers

    Location: TARIME Industry: Banking (Microfinance) DUTIES AND RESPONSIBILITIES. Credit Officer Job Responsibilities: -Marketing of loan products -Meeting with clients interested in taking out a loan and providing them with the necessary information to start the loan application process...
  10. Cowman

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Bora usiuze kuliko kuuza ukiwa uchi😂
  11. Cowman

    JamiiForums Tanzania Loan recovery officer

    Please, find the attached document for more information.
  12. Cowman

    JamiiForums Tanzania Bei ya sukari yapanda ghafla kulikoni?

    Kipindi hiki cha Mvua uzalishaji wa Sukari unachangamoto kidogo hasa kuanzia kwenye kuvuna Miwa, kuchoma Miwa inakuwa changamoto, miundombinu ya ufikaji shambani na mwisho kabisa Mvua ikinyesha ile Sukari kwenye Muwa hushuka chini kwenye Kikonyo so wakivuna hivi inakuwa ni hasara
  13. Cowman

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

    Hivi ukiitwa mzee wa kazi huwa lina maana gani
  14. Cowman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marriage is not for everyone

    Namshukuru Mungu kwa kuendelea kunikirimia pumzi ya uhai na afya njema. Nina miaka 37 lakini jambo linalo nikosesha amani kila wakati ni watoto wangu watatu. Kila mmoja ana mama yake. Jamii yangu wakati mwingine hunichukulia kama mhuni hivi. Jambo hili huwa linaniumiza sana. Nafikiria issue ya...
  15. Cowman

    JamiiForums Tanzania CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

    Unaongelea wana chama walio against na mkataba lakini hawezi kusema NO.
Back
Top Bottom