Recent content by CORLEON

  1. C

    Wajameni njooni muone viatu huku...

    Bro nimekuzoea kwenye Ile thread yetu Wana wa Santiago bernabeu.... Kumbe na huku upo???? Ha ha ha ha ha ha ha umetisha
  2. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mkuu salamander much respect .... Unafanya kazi kuu Sana Katika kuufanya huu uzi uwe Hai...... Aleyn na mourinho changamoto zenu zimekaa katika kujenga Sana much respect pia ...... Tunashukuru Sana... All in all whites Lazima watue Berlin.... Inyeshe...
  3. C

    Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

    Mkuu dkt kilembwe Zzk si ashasema Ukawa ni wasaka tonge??? Kwa akili ya kawaida tu ulitegemea Nani ampokee??? Wakati fulani kwenye maisha unazi na ufuasi uwekwe pembeni.... Nadhani kwa kuwa yeye Ana nguvu na aliweza kuiangusha serikali mara 2(though sijui ni...
  4. C

    Kumbe Professor Jay alianza harakati za kombozi siku nyingi

    Nadhani profesa Jay alistahili heshima ya pekee si sababu ya chadema ila ni katika wasanii waliojaribu kujenga picha chanya kwenye jamii.... Ni bahati mbaya kizazi hiki chetu kimetawaliwa na unafiki wa kutokubali ukweli... Ila jamaa kajitahidi Sana..... Mungu...
  5. C

    Kauli za "Jembe" Mwigulu kwa waelevu tunajifunza kitu!

    yawezekana siijui siasa kama wengine humu...ila hakuna TUSI kubwa kama kumfananisha mwigulu na sokoine moringe..... ni bahati mbaya sana hii nchi haitambui mchango wa watu wenye mtazamo tofauti...ila pamoja na yote mwigulu anahitaji miaka 400...kukaribia level za sokoine
  6. C

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Hapana ishu ya zitto itakaa muda mrefu sana.... kumbuka mgogoro wa zito na chadema una nguvu kubwa iliyo nyuma ambayo hatuijui... ishu ya zitto ndo inatumika kupotezea yote yanayoendelea.... kuna ishu ya wachina na ndovu hakuna anaeiwaza....kuna ishu ya umeme hakuna anaeiongelea.... kuna ishu...
  7. C

    Basi la mohamedi trans lapata ajali karibu na kibaigwa...

    Muda si mrefu hapa karibu na kibaigwa gari la mohamedi trans likielekea dar lapata ajali baada ya kugongana na semitrela iliyokuwa inaelekea dodoma....mpaka sasa hakuna majeruhi kwenye basi wala aliepoteza maisha ingawa kichwa cha semitrela kimeharibika na dereva kaumia kidogo.....source mimi...
  8. C

    Our 'Senses' Vs Our Future: Individual, Organisational and National Self - reflection!

    uko sahihi kabisa pasco.......kama mtu kwenye hadhira anayosimamia hayaeleweki basi hata angeandika vizuri haileti maana.....
  9. C

    Kikwete na Koti la Azam Sembe

    Kikwete ana mapungufu yake ila wewe mleta mada nadhani hauna nia njema....alivaa koti limeandikwa azam embe na si sembe........ Lakini pia wafanyakazi wanavaa makoti kulingana na product zinazozalishwa kiwandani...... Mnaiangusha heshima ya jamii forum kwa kukurupuka.......
  10. C

    CHADEMA yazidi kumeguka...!

    juliana shonza lini mtakuja arusha? Tumemis sana harakati zenu zisizo na matunda....nikiziangalia post zako huwa nakosa imani na chadema..........iliwezaje kukuweka mtu mweupe kichwani kama wewe? Kila nikifikiria wewe ulikuwa kiongozi chadema huwa natamani kurudisha kadi
  11. C

    Lady Jaydee akiwa mahakamani leo...

    nakupa big like kiongozi......huyo ndo the heavyweight Mc..... Kila binadamu ana mapungufu ila prof ni mfano wa kuigwa......ni miaka mingi sasa tumesikia watu wakimsema ila hautamsikia jamaa akijibu kwenye media.... Hii inamfanya jamaa awe tofauti na wengine.....naungana nawe kumpa big up...
  12. C

    Lema aiomba CHADEMA Makao Makuu kumwachia kazi ya kuisulubisha CCM nchi nzima

    Godbless Lema mwanasiasa pekee ambaye wengine wanafanya siasa za mitandaoni yeye anakwenda mtaa kwa mtaa..... Wapo vijana waliolipwa kumchafua ila hachafuliki... Na hata wanaompinga hapa hawawezi kuwa na uthubutu alionao lema kwa kizazi hiki ni ngumu sana kuelewa....kuna wakati nilisema Lema...
  13. C

    Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

    Naamini jize anaingia humu jf..... Watu tulingojea hili tukio kwa muda mrefu.........kuingia chama cha upinzani kwa siasa za tanzania inahitaji ujasiri mkubwa sana...... Ulichokifanya leo kimekamilisha heshima uliyoijenga kwa miaka mingi..... Big up joseph haule...
Back
Top Bottom