Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
...
....Huyu kazuunguka tu!!!
.....tatizo ni neno "sembe"....
....Huyu kazuunguka tu!!!
.....tatizo ni neno "sembe"....
www.upumbavu.com. Mnatujazia server tu humu
Kwani ubaya upo wapi..si kavaa brand ya kampuni ya kitanzania
Sasa nadhani hii ni too much.
Ni kweli rais alikuwa anatembelea kiwanda cha unga cha Bakhresa lakini hadi kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe na picha yake kusambazwa kwenye magazeti ni udhalilishaji mbaya kuliko ule wa kubembea kwenye michezo ya watoto Jamaica.
Hivi wapambe wake walishindwa kuwaambia viongozi wa kiwanda kumpa rais koti plain lisilo na maandishi?
Kikwete ana mapungufu yake ila wewe mleta mada nadhani hauna nia njema....alivaa koti limeandikwa azam embe na si sembe........ Lakini pia wafanyakazi wanavaa makoti kulingana na product zinazozalishwa kiwandani...... Mnaiangusha heshima ya jamii forum kwa kukurupuka.......
ulitaka avae kombat?