Recent content by coresh

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Simu Utafeli...

    Hongera Mzee Mwanakijiji tulikuwa tumejiandaa hata kama kuna walamba miguu ya mafisadi wakiomba fadhila zao za kitambo kidogo tu na wengine wengi ambao hawajajua haki zao wanakukatisha tama sisi tupo nyuma yako. Kwa taarifa yao tu ni kwamba msimo wetu umewatetemesha serikali kilaza na wamefyata...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, Kamata Wafanyabiashara wa Madawa ya Kulevya, Nchi Haitatikisika...

    Bw. SAANANE na Mwita MARANYA. Uwezo wakuzuia kusambaa kwa matumizi ya madawa ya kulevya nchini mwetu upo mikononi mwa viongozi wetu na wanaouwezo huo. Shida ya viongozi wetu ni ushamba umewajaa, kila eneo wanadhani litawasaidia wao na ama jamaa zao.., nao jamaa kuwafaa wao baadae. Msingi upo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inavyoliangamiza Taifa!

    Shida nyingine hii MED-MTWIRO ! Umefoka povu lakutosha bure. Kumbe unaonekana bado unahitaji elimu ya mapinduzi, hujui watanzania kwanini hawataki uongozi wa CCM na kauli yoyote yenye uzuri kutoka kwao. CHARITY BIGINS AT HOME.. unajua maana ya huu msemo? Kigwangala hajasema chochote...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Sospiter Muhongo

    Ndugu yangu muathirika mwezangu, maneno ya Prof MUHONGO ilikuwa siasa tupu. Sisi tupo KWAMUROMBOO Arusha, kata inayoongozwa na maCCM tukapambana tukimshirikisha DIWANI. Tukidhani watajiosha. Diwani alipoona ngoma nzito akamualika meneja mkoa aje ajibu kero zetu. Tulichoambulia nikukatishwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania KITILA MKUMBO: CHADEMA inakua, CCM inasinyaa, lakini kwa kasi ndogo!

    Napata shida sana kukutana na watu wenye mawazo kama yako HAMY-D. Twajua kunamaslahi unaweza kuwanayo na chama chako Tawala. Ebu jipe nafasi walau kidogo ufanye tafakari ya kina ya hali ya nchi yako zuri ya Tanzania siku ikawa na uongozi wenye nia njema kabisa ya upendo kwa nchi na watu wake...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Usilime hilo shamba kwa sasa mpaka nitoke jela

    Chezea sanaa wewe............ Imetulia
  7. C

    JamiiForums Tanzania Daaaaa!!!!

    Nali hili neno....!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Iringa maeneo mengi kuanza na herufi I kuna nini?

    Iringa na majina kuanza na I ni kutokana na lugha ya kihehe kutaja maeneo kwa kuazia na neno KWI....,mfana; kwihala mana yake porini. Hivyo Kwi.. ikitafsiriwa kiswahili kw inaondolewa na kubakiwa na I. MNYALU ORIGINAL. Nawakilisha
  9. C

    JamiiForums Tanzania Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

    AZA BOY ezi za Mchwa na Hatibu, mpooo!
Back
Top Bottom