Recent content by coplo chui

  1. C

    JamiiForums Tanzania Anthony Joshua vs Francis Ngannou.....

    Unalichekia wapi I mean platform gani link etc pls share
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wazungu waanza kuambiana ukweli

    Sina Imani kama Qatar wamepata hiyo pesa na kuishia juu kwa juu. Lazima hiyo pesa watakua wamei-reimburse au negotiation yoyote hiyo tuhuma kubwa sana to go through
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wazungu waanza kuambiana ukweli

    Sifa za culture (utamaduni) ni kubadilika badilika kulingana na muda, hivyo hata kama mpira ni utamaduni wa Mwingereza (although soccer ilianzia China na kupokelewa na Uingereza kuweka sheria). Kwahiyo utamaduni wa mchezo mpira ulikubali kupokelewa na mataifa mengine kwa hiari kabisa na sio kwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mexico | Estados Unidos Mexicanos

    Vipi hali za kimaisha za hao wasanii wake individually au ni kama huku tu sema ndo vile kupendeza sana mambo ya insta kwa sana ila life situation ni kawaida tu?? isajorsergio
  5. C

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habari wadau, kwa yeyote mwenye idea ya mtu mtu yeyote au kampuni yeyote that’s needs waste/ crude oil kwaajili ya kuendeshea mitambo mikubwa mikubwa tafadhari tuwasiliane natanguliza shukrani. Petroleum services (unlimited quantity) Waste oil/ HFO (heavy fuel oil) supply (oil and lubricants)...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta oil kwa ajili ya uendeshaji mitambo

    Habari wadau, Kwa yeyote mwenye idea ya mtu mtu yeyote au kampuni yeyote that’s needs waste/ crude oil kwaajili ya kuendeshea mitambo mikubwa mikubwa tafadhari tuwasiliane natanguliza shukrani. Petroleum services (unlimited quantity). Waste oil/ HFO (heavy fuel oil) supply (oil and...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

    Mkuu nimefika chole na Ras Mbizi pia na mbweni kuna maajabu gani kule.. mbona mimi sikuona maajabu yoyote zaidi ya hali duni tu ya wakazi wa kule.!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    JamiiForums Tanzania Freemasonry na Freemasons katika mlengo wa ulipaji kisasi kwa Mungu

    mkuu hivyo vitabu vyao mtu unaweza kuvisoma na ukapractise yaliyo kuposses hizo powers n.k au ni hasa extra kinahitajika, na hivyo vitabu hasa yaliyomo ndani yake ni yapi? ahsante!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mjue Yoabu - Jenerali Mkuu wa Mfalme Daudi, Katili na asiyeogopa chochote!

    kivipi mkuu fafanua vizuri hii ya mapenzi ya jinsia moja!!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye wimbo wa O-ten ft Hard Mad

    mkuu na mimi naomba unitumie 0787547343
  11. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye wimbo wa O-ten ft Hard Mad

    mkuu mimi pia nimehangaika sana kuutafuta huu wimbo.. lkn nimeshindwa kabisa namna ya kuupata
  12. C

    JamiiForums Tanzania Fundamentals of Enlightenment (Kwa kiswahili)

    mkuu endelea kushusha nondo kwa ufafanuzi yakinifu..
  13. C

    JamiiForums Tanzania Fundamentals of Enlightenment (Kwa kiswahili)

    mkuu hapa hujakamilisha kutoa ufafanuzi zaidi ya namna yakutumia sehemu nyingine zinazohifadhi kumbukumbu kuimprovise
  14. C

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    passion and power itv daima bonge ya series sema itv wenyewe wanayeyusha tu.. naitafuta complete sijui nitaipata vipi.. msaada tafadhari!
Back
Top Bottom