Natafuta oil kwa ajili ya uendeshaji mitambo

Natafuta oil kwa ajili ya uendeshaji mitambo

coplo chui

Member
Joined
Mar 30, 2014
Posts
51
Reaction score
36
Habari wadau,

Kwa yeyote mwenye idea ya mtu mtu yeyote au kampuni yeyote that’s needs waste/ crude oil kwaajili ya kuendeshea mitambo mikubwa mikubwa tafadhari tuwasiliane natanguliza shukrani.

Petroleum services (unlimited quantity).

Waste oil/ HFO (heavy fuel oil) supply (oil and lubricants)

Diesel, Furnace Oil, CST 125, CST 150, CST 180. Hizo ndio aina za hayo mafuta ambazo tunazo wakuu kama yeyote atahitaji kupima tunaweza kuwapelekea sample.

Tunaweza kuwasiliana kupitia 0787547343.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom