Recent content by CoolestKing

  1. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Bob Junior unatia mashaka kidogo

    Duh so sad kwakweli... nimemfananisha na Demu flani ivii wa kikorea
  2. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

    Tuanzeni kumlaumu kocha;), au muda bado?
  3. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

    Amunike Kazingua sana
  4. CoolestKing

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanamke akisema mimi na wewe basi huwa anamaanisha kweli?

    Duh Nimerudia kusoma kama Mara 7 lakini sijaelewa
  5. CoolestKing

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Khee birthday yangu leo

    Happy Birthday Mkuu, Kila la heri kwenye Mishe Zako
  6. CoolestKing

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba Askofu fanya hivi ili kuuwa 'soo' then thank me later

    ahahhaah good advice
  7. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    March 2, Jumapili... wozaaap.!!
  8. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

    Inawezekana hawa Tp mazembe wanatumia lile vumbi lao
  9. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

    kili
  10. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Jinsi kiswahili kinavyomrudisha nyuma Diamond

    Ni Kweli mkuu, hicho kitu nimekiona kwenye ngoma zake za hivi karibuni.. ubunifu ni Zero kabisa hata Discipline ya kazi saivi Imepungua sana, Kingine Management yake inaogopa kumchana
  11. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Jinsi kiswahili kinavyomrudisha nyuma Diamond

    Lil kesh,Olamide na Phyno wa Nigeria ngoma zao wanatumia sana Igbo na Yoruba language, lakini ngoma zao nazielewa kinoma na zinavuka border hata wasio elewa lyrics wana-enjoy... tafuta sababu nyingine
  12. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Sakata la Pierre Liquid; Shilole aomba Radhi

    Shilole na Paulo ni Makubwa jinga I've never ever seen in my life
  13. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Sakata la Pierre Liquid; Shilole aomba Radhi

    Shilole na Paulo ni Makubwa jinga I've never seen in my life
  14. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

    Hongera kwao.. Alafu tupunguze chuki na roho mbaya maana zinaleta sumu mwilini
  15. CoolestKing

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mkono Wa Chuma

    mdogo mdogo hatimae nimewakuta, ngoja nisubiri japokuwa I'm not good at waiting... Btw story Kali sana
Back
Top Bottom