Recent content by Cool Gentleman

  1. Cool Gentleman

    United Kingdom statement on Zanzibar elections

    The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland is deeply concerned by the announcement of the Chairman of the Zanzibar Electoral Commission to nullify the elections. We note that all the international observers were impressed by the quality of the electoral process they witnessed. We...
  2. Cool Gentleman

    External Hard Disk Password Protection Recovery

    Sikutumia Bitlocker. Bitlocker si ni part of utilities kwenye Windows 7? Mimi nilidownload free online software ambayo siikumbuki.
  3. Cool Gentleman

    External Hard Disk Password Protection Recovery

    Mkuu ni kweli sikumbuki maana nili download free online software ya External HDD Protection. Nimejaribu kuichomeka kwenye Windows PC na kudownload free software mbalimbali nikitegemea naweza ku-unlock lakini sijaweza. Hakika sikumbuki hiyo software. Hakuna Universal Software au njia yoyote...
  4. Cool Gentleman

    External Hard Disk Password Protection Recovery

    Wakuu Kama kuna anayefahamu maujanja naomba anisaidie.
  5. Cool Gentleman

    External Hard Disk Password Protection Recovery

    Wakuu wa Kitengo hiki salaam sana. Nina External HDD ya TRANSCEND ya 500 MB ambayo niliwekea password kwa usalama wa data zangu. Sasa for some reason computer niliyokuwa natumia ambayo ilikuwa na Windows 7 ikawa formatted na hivyo nikashindwa kui-access external HDD. Mbaya zaidi sikumbuki ni...
  6. Cool Gentleman

    Mume Mwema Anapatikanaje?

    Kwamba kutafuta mchumba ni zaidi ya maandiko, lazima upate muda pia wa kuruhusu uhusiano wenu uweze kusomwa na kila moja. Hauji kwa maombi tu au kuonyeshwa tu na bwana. Swali la kimsingi ni je, wahusika wanapata muda wa kusomana, kutafakari na kuchukua hatua stahiki nkatika kutoa maamuzi?
  7. Cool Gentleman

    mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

    We acha tu. CG alikomaje?
  8. Cool Gentleman

    mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

    Unajua Mpenzi sio Mke, so naenda taratibu!
  9. Cool Gentleman

    Mume Mwema Anapatikanaje?

    Aiseee! Nimekuelewa!
  10. Cool Gentleman

    Ujue ni kwa nini wasichana wanakuwa na mahusiano na watu wazima

    Mandela kampita Graca Machel zaidi ya miaka 17 na dunia nzima ina appreciate uhusiano wao. wapenzi ya "kweli" hayajalishi umri.
Back
Top Bottom