External Hard Disk Password Protection Recovery

Cool Gentleman

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
330
235
Wakuu wa Kitengo hiki salaam sana.

Nina External HDD ya TRANSCEND ya 500 MB ambayo niliwekea password kwa usalama wa data zangu.

Sasa for some reason computer niliyokuwa natumia ambayo ilikuwa na Windows 7 ikawa formatted na hivyo nikashindwa kui-access external HDD.

Mbaya zaidi sikumbuki ni software gani niliyotumia kufanya protection japo password naikumbuka. Sasa hivi natumia Mac.

Kuna Muungwana yeyote anyeweza akanijulisha ni namna gani naweza nika-accessr my HDD driver na kuweza kuitumia tena? Kuna documents na reports muhimu sana na siwezi kuformat HDD.

Tafadhali naomba msaada wenu.
 
Kama hukumbuki hata software hakuna atakayeweza kukusaidia. Umejaribu kuichomeka kwenye PC ya Windows? Inasemaje?
 
Nadhani ulitumia Bitlocker, Tafuta PC yenye Window7 Ultmate then delete password zako.
 
Kama hukumbuki hata software hakuna atakayeweza kukusaidia. Umejaribu kuichomeka kwenye PC ya Windows? Inasemaje?

Mkuu ni kweli sikumbuki maana nili download free online software ya External HDD Protection. Nimejaribu kuichomeka kwenye Windows PC na kudownload free software mbalimbali nikitegemea naweza ku-unlock lakini sijaweza. Hakika sikumbuki hiyo software.

Hakuna Universal Software au njia yoyote nyingine?
 
Ww google tatizo lako..au nenda youtube andika tatizo lako kuna njia nyingi hapo tafuta inayokufaa..:D
 
Kunasoftware ya hizo trancend hdd inaitwa TranscendElite nayo inapatikana free jaribu nayo inaweza kuwa msaada. Sasa kama software haukumbuki je password itakuwaje hata kama utafanikiwa kuipata software husika
 
Mkuu ni kweli sikumbuki maana nili download free online software ya External HDD Protection. Nimejaribu kuichomeka kwenye Windows PC na kudownload free software mbalimbali nikitegemea naweza ku-unlock lakini sijaweza. Hakika sikumbuki hiyo software.

Hakuna Universal Software au njia yoyote nyingine?

Ukifungua hiyo HD kwenye my computer bila software inakuaje? Hiyo software ilikuwa inafanyeje kazi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom