Makada hadi sasa ni wanne (hapa sina uhakika na wamiliki wa hizo casino na mahotel wapo chama kipi)
Manji, Zungu, Wema, Riz1
Upinzani 1
Mbowe
hii inaonyesha wazi kuwa nani ngada inawaweka mjini
Usikariri, siasa sio sawa na kwenda darasani kusoma ufaululu... siasa ni kamari pia, ndomaana unaona wapo wanaoshindwa wanafilisika na wanao pata pasi kutumia hata senti. CDM haitavurugika hata kidogo, na opportunist Zitto na ACT yake hawatakuwa chama kikuu cha upinzani 2020. Usikariri.
Kama...
Neno! walifanya operations za kutosha, kuanzia Sangara hadi M4C... CCM wamewekeza kwenye UJINGA wa watanzania. na to be honest hawana mpango wowote wa kututoa kwenye ujinga huu...coz ni mtaji wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.