Familia ya Wema, Diamond wapiga kambi polisi Dar kujua hatima ya watoto wao

Mbona unapaniki ambacho Polisi wanatimiza wajibu wao baada ya kupewa maelekezo na Mkuu wa Mkoa Makonda sitoshangaa watuhumiwa kuachiwa huru kwa kukosekana ushahidi kutokana Makonda kukurupuka .Vita
ya madawa ya kulevya hajaanza
leo
Nawewe inaonekana ni drug dealer pia,,,
SASA unadhani mpaka wanaitwa kuhojiwa Makonda au vyombo vya usalama Hawana details zote au,,,we hujui mpaka aliekuwa rpc wa kinondoni nae amekamatwa yupo ndani,,,,au kwakuwa amekamatwa WEMA SEPETU ndo povu linawatoka nakujichetua,,,,,,,
 
Jua hili vizuri ww uliye lala fofofoo na mdomo wako uko waziii na nzi wanakuingia

1: Hakuna busara ktk kupambana na madawa ya kulevya.. hawa ni watu hatari sana

2: Hakuna Brand inajengwa kwa madawa ya kulevya.. hakuna brand ya hela haramu, hakuna ndio maana uchunguzi unaendelea mkali, jua hakuna aliyehukumiwa.. ila Mh. RC na Polisi, hadi wakuite polisi wana habari zoooooote, kuwa unahusika kwa 100%, mbona wengi tu hawajaitwa..? so hadi uitwe polisi, wana full data unahusikaje na madawa ya kulevya..
acha uongo wewe
 
Hahaha kweli uongozi kazi saana.swala LA usafi lilishika hatam lilipo anza sasahivi kawaiiiida naamini litakuja kufa.. Nahilipia tusubiri ila siamini katika kua andelevu. Huhuhuuu alikiba kama namuona vileeeee anavyo furahia hahahahhaa (marry you)
 
h
Hao ndugu nao ni wapungufu wa akili kweli kweli.....yan mtoto hana kazi yakueleweka lakini anamiliki pesa nyingi then mzazi unashindwa hata kuhoji anazipata vipi then siku anakuja kudakwa ndio unaanza kujiliza.....kama inawezekana na wao wawekwe ndani tu.
Hivi kama Mama Wema akiulizwa mwanae anafanya shughuli gani halali ya kumuingizia kipato atajibu nini. Hivi haoni fedheha kwa mwanae kuwa na shughuli isiyo halali?!
 
Mwenye update za vanessa,tunda na wengineo waliotakiwa kufika leo polisi jamani
 
Tusiwahukumu watu kwa hisia, lazima suala hili lishughulikiwe kwa kulinda haki za watuhumiwa ili ikithibitika hawahusiki na matumizi ya dawa hizo, iwe ni rahisi kwao kurejesha heshima yao,
Msaniimmoja tu ndio namkatalia kwani anajituma na anappata pesa yake kihalali!
 
Mbona unapaniki ambacho Polisi wanatimiza wajibu wao baada ya kupewa maelekezo na Mkuu wa Mkoa Makonda sitoshangaa watuhumiwa kuachiwa huru kwa kukosekana ushahidi kutokana Makonda kukurupuka .Vita ya madawa ya kulevya hajaanza leo
hapo simu zao tu zitatoa majibu ktk uchunguzi....watu wasichukulie ili swala kimchezomchezo
 
Back
Top Bottom