Recent content by Contour Integral

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wako unahitajika

    Helen Keller alishapata kusema "Alone we can do so little; together we can do so much", na bwana Henry Ford yeye alisema "If everyone is moving forward together, then success takes care of itself". Waswahili nao wakasema "penye wengi hapaharibiki neno", kwa kutambua hayo yote, na kwa kujua kuwa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Baadhi Ya Video Nilizotengeneza

    Namba zangu ni 0714 065 656 na 0756 325 637
  3. C

    JamiiForums Tanzania Baadhi Ya Video Nilizotengeneza

    Karibu katika kutazama video zifuatazo kutoka Hakuna Jipya TV N.B: Kwenye video, kuna jina la kituo cha TV kiitwacho LivingWater, ipo hivyo kwa kuwa, video hizi nilipeleka kwenye hicho kituo, kuona kama kuna uwezekano wa kuzirusha kwenye TV, ili ujumbe uliomo umfikie hata yule asiye na uwezo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshandaa vipindi cha radio kadhaa ila sina fedha za kulipia kurusha kipindi hicho!

    Kuna kipindi cha TV nahitaji kuanzisha, nimeshaandaa video kadhaa, lakini shida inayonikabili ni uhaba wa fedha ili kurusha vipindi hivyo. Kwa kuzingatia kauli hii MTU NI WATU, NA WATU NI MTU, Ninakuja katika jukwaa hili, kwa kuwa hapa kuna mkusanyiko wa watu wenye kariba tofauti tofauti...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mbona kimya kirefu uchaguzi wa mameya Dar kulikoni?

    Kumbe, sikujua hilo. Mimi nilijua kasoro mji wa Mwanza.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Sijawahi Kuona Mtu Anaandika/Kupost Kitu JF

    Mimi huwa naona kila mara ninapopost, yaani najiona mwenyewe, maana bila shaka nami pia ni mtu. 😀😀😀😀😀
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kukusamehe nashindwa kukuacha

    Huwezi ukakomaa bila kuumia. Na kuna msemo unasema, the direction of one step, leads the direction of another step. Hivyo, hiyo ni hatua mojawapo inayokuongoza katika masuala mazima ya mahusiano.
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kukusamehe nashindwa kukuacha

    Kumbe eeeeh
  9. C

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi itakuwa Siku ya kufanya Usafi nchini!

    Unajua masaa ya kuanza sabato yao na kuihitimisha pia?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi itakuwa Siku ya kufanya Usafi nchini!

    Kweli Mungu hawezi akakupa vyote. Ningeshangaa sana, eti Mungu atupatie rasilimali na wakati huo huo atupatie viongozi wenye akili, never.
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LOVE CAN BE SO CRUEL! Yamkuta Mazito Senior Bachelor Alietaka Kuoa Kwa Crush Program

    Unapofurahia wakati wa kupanda, andaa kicheko wakati wa kuvuna.
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anawafundisha watoto dini yake kwa siri, kinyume na amri yangu

    Mafundisho ya imani ndiyo kitu cha muhimu. Lakini jina la dini, ni upuuzi tu
Back
Top Bottom