Hivi ni kiungo gani cha mwanadamu ni cha thamani kuliko vyote?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,216
Kama Huwa Tunasema Kuwa Kila KIUNGO Cha Ktk Mwili Wa BINADAMU Ni MUHIMU Na Hakuna Ambacho Hakina UMUHIMU Kuwepo Japo Ukiwa Ni Mtu Unayependa Kufikiri Nje Ya Box Kwa Kufanya Uchunguzi Na Utafiti Ni Lazima Tu Utakuja Kugundua Kuwa Kipo Kiungo Kimoja Cha Ktk Miili Yetu Ni MUHIMU KULIKOTUKUKA.

Hivyo Basi Napenda Kulirudisha Hili Kwenu Wadau Wa Jamvi Kuwa Hivi Mnadhani Ni KIUNGO GANI / KIPI Cha Ktk Mwili Wa Mwanadamu / Binadamu Ni Cha THAMANI KUBWA Mno ( Kwa Maana Nyingine ) Ni SUPER BRAND? Karibuni.
 
Hakuna Superbrand Vinategemeana Kama Mfumo Ulimwenguni Unavyojitegemea Ukitoa KiMoja Ni Disaster
 
Hakuna Superbrand Vinategemeana Kama Mfumo Ulimwenguni Unavyojitegemea Ukitoa KiMoja Ni Disaster

Ukiwa Ni Mtu Unayependa Kushughulisha Vizuri Na Kiumakini ULIOTUKUKA Ubongo Wako Huwezi Kusema Kuwa Viungo Vyote Vya Ktk Mwili Wa Binadamu Vina UMUHIMU Sawa. UZI Huu Kama Wewe Ni Mvivu Wa KUFIKIRI Utateseka Mno Na Matokeo Yake Utakuwa Unatoa Tu Majibu Ya KUKURUPUKA Kama Siyo Ya KIPOPOMA. Anyway Hata Hivyo Akhsante Kwa Kuchangia Na Nilikuwa Sijui Kuwa Kumbe Unajua Kiswahili Vizuri Tu.
 
Jaman acheni mungu aitwe mungu. Vimeumbwa kwa muonekano mbaya au sura mbaya hivi viungo lakini watu wanalamba na kunyonya sasa vingekuwa na muonekano mzuri si tungemega?

Gegedo ikitaka na hamu kuzid halaf unaibania inatoa hadi chozi maamae.

Kingine cha ajab na kazi pekee ya mola ni 0713 yani hiki kiungo kinakata VIMA bila kutumia kitu chenye ncha kali kama kisu tublwii!!
 
Jaman acheni mungu aitwe mungu. Vimeumbwa kwa muonekano mbaya au sura mbaya lakini watu wanalamba na kunyonya sasa vingekuwa na muonekano mzuri si tungemega?

Gegedo ikitaka na hamu kuzid inatoa hadi chozi maamae.

Kingine cha ajab na kazi pekee ya mola ni 0713 yani hiki kiungo kinakata VIMA bila kutumia kitu chenye ncha kali ama kisu.

Haaaaa!!
 
Jaman acheni mungu aitwe mungu. Vimeumbwa kwa muonekano mbaya au sura mbaya hivi viungo na ndio chimbuko letu tunatokea hapo hapo lakini watu wanalamba na kunyonya sasa vingekuwa na muonekano mzuri si tungemega?

Gegedo ikitaka na hamu kuzid halaf unaibania inatoa hadi chozi maamae.

Kingine cha ajab na kazi pekee ya mola ni 0713 yani hiki kiungo kinakata VIMA bila kutumia kitu chenye ncha kali kama kisu tublwii!!

Wapenda KUBINJUKA au KURUKA UKUTA Utawajua Tu.
 
Back
Top Bottom