covering risks
Senior Member
- Mar 13, 2015
- 125
- 124
Kwa kawaida Uchaguzi wa madiwani ubunge na rais unapokamilika na washindi halali kutangazwa kinachofuata kwa upande wa madiwani ni kuchagua wenyeviti wao ambapo kwa mijini huitwa mayor na wilayani huitwa mwenyekiti,Leo naomba kujua kwa hapa dar es salaam huu mkwamo unatokana na nini au kunachama ambacho ambacho kinajua kikishiriki kitaangukia pua au kuna watu wanamiradi yao na wanahofu kuwa endapo Uchaguzi utafanyika na chama chao kushindwa madhambi waliowatendea wanadar yatajulikana?
Ki uhalisia Ukawa wanamadiwani wengi zaidi kuliko ccm na pia CHADEMA bila hata Ukawa inauwezo WA kuikamata manispaa ya KINONDONI,sasa tatizo ni nini? Au ccm wanamiradi yao ya kifisadi kwa hiyo wanahofu?
Uchaguzi uharakishwe tunataka kuona Ukawa inaibadilisha dar na kuwa na muonekano WA jiji,jiji la arusha kwa sasa ni safi kuliko maelezo