Sijawahi Kuona Mtu Anaandika/Kupost Kitu JF

Nimemuona lionel messi hapa kwenye daladala ya gongolamboto amesimama nayy ameuliza swali kama hili? Wewe je umemuona?
 
Duu waambie uongozi wafanye vile km whatsap mtu akitype unaona mfano miss chaga is typing..

Au ulikusudia kwa macho jamaa linacharanga vidole km ni hivo pole yaani sawa na nyakati za mvua unaona majiran zako washakuwa wajawazito sasa ulitaka ww uwone from the begining wanapigana miti hadharani Astaghfirullah!!!
 
Hahahaaa...watu mna vituuko!,wakati wa mvua.........miti.........
 
Duu waambie uongozi wafanye vile km whatsap mtu akitype unaona mfano miss chaga is typing..

Au ulikusudia kwa macho jamaa linacharanga vidole km ni hivo pole yaani sawa na nyakati za mvua unaona majiran zako washakuwa wajawazito sasa ulitaka ww uwone from the begining wanapigana miti hadharani Astaghfirullah!!!

Mkuu namaanisha kumwona member mwingne akicharaza ujumbe.

Ingekuwa poa sana unabaki kujiuliza huyu sijui ndo Kaka jambaz au yule Kapwila matulu?
 
Back
Top Bottom