Recent content by consigliori

  1. consigliori

    JamiiForums Tanzania Who is your best football commentator?

    Peter Drury, the poet
  2. consigliori

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gan kati ya kupendwa na kulinga

    1a2
  3. consigliori

    JamiiForums Tanzania Nyingine ya kufungia mwaka: Mzee Mwanakijiji awaombe msamaha wananchi

    Duh Kweli moyo wa binadamu ni kichaka, hata wewe MMM, sikutegemea. Au kuna mtu anapost kwa account ya MM bila yeye kujua?
  4. consigliori

    JamiiForums Tanzania The English of the Tanzanian President Magufuli

    Hata kiswahili kina mpa shida!
  5. consigliori

    JamiiForums Tanzania Kwanini tutumbue majipu gizani?

    Very sad, sijui Tanzania inaelekea wapi. Naona mikono ya viongozi wetu ipo busy kuivuranga nchi yetu. naona Mungu pekee ndo atatunusuru, kwa sababu wana wa giza wanazidi kuwa na maguvu dhidi ya watoto wa nuru.
  6. consigliori

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Sijui itakuwaje mwisho wake
  7. consigliori

    JamiiForums Tanzania UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

    Mkuu ushauri mzuri sana huu, UKAWA wasipouzingatia nitawashangaa
  8. consigliori

    JamiiForums Tanzania Hujuma dhidi ya UKAWA kuelekea Oktoba 25, kuwa wa Kwanza kujua

    Mkuu Ben, wakati mnafikiria kupambana na mkakati ovu, msisahauni mikakati yao mingine kama Kuzinduliwa kwa mradi wa mabasi yaendayo kasi siku chache kabla ya uchaguzi. Anzeni kuya pre empty mambo kama haya pia.
  9. consigliori

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kesho atasema nini?

    Dr kafanya kazi nzuri kuijenga CDM, but anachokifanya sasa hatukukitegemea kwa mtu kama yeye. Yaani kawa mfanya propaganda wa CCM. Kwa hili kafanikiwa sana kwa kujifanya yupo neutral.
  10. consigliori

    JamiiForums Tanzania Eti 'Mpe wa Nyumbani Yule'.....

    Usihamishe goli, wa nyumbai ndo kilikuwa kigezo kwa huyo mdada
  11. consigliori

    JamiiForums Tanzania Picha za campaign UKAWA wilayani Mufindi na Iringa mjini

    Hii kweli Tsunami
  12. consigliori

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Nasikia police wamewazuia CHADEMA kuweka jukwaa pale Jangwani, wanadai waenyeshe kibali cha UJENZl!
  13. consigliori

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    Too wordy, ungeweza kutuandikia kwa kifupi tukakuelewa
  14. consigliori

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aenda Uswisi

    Mkwere ana mambo kweli kweli
  15. consigliori

    JamiiForums Tanzania Insurance Sales/Marketing person needed

    If you are inerested, call 0713771212
Back
Top Bottom