Eti 'Mpe wa Nyumbani Yule'.....

Eti 'Mpe wa Nyumbani Yule'.....

Unashangaa mpe wa nyumbani wakati Lowassa anasema walutheri wampe kura kwa kuwa yeye ni mlutheri.

Hilo halikupi shida?

Yote shida tu hadi nishakata tamaa kabisa na haya mambo!

Sasa sijui Uluteri na Unyumbani unahusika vipi na maslahi ya umma?
 
Mbona hata kanda ya kaskazini pia nao ni mtindo kama huo wanao, jumamosi nilikua harusini mbezi makonde kwenye ukumbi walikua wanasema kaskazini oyeeee chagua ukawa,
 
Mbona hata kanda ya kaskazini pia nao ni mtindo kama huo wanao, jumamosi nilikua harusini mbezi makonde kwenye ukumbi walikua wanasema kaskazini oyeeee chagua ukawa,

Linchi la hovyo lililojaa watu wajinga na majuha......
 
Nipo Mahaha Magu lakini Lowasa ndio chaguo letu, huo ukabila wapeleke Lumumba
 
Ukanda, ukabila, unyumbani, ukwetu, udini. Taratibu mtalifikisha taifa mnapotaka...
 
Kwenu ni neno zuri/baya kulingana na unavyolitumia ..na kusikia tu mtu anaongea si hoja, hoja ni pale kama Hugo mtu naye hana hoja za kumchagua Hugo wa nyumbani, kwahiyo tusiishie kudakia neno moja wakati yameachwa mengine kumi ya maana.
 
Usihamishe goli, wa nyumbai ndo kilikuwa kigezo kwa huyo mdada
 
Yote shida tu hadi nishakata tamaa kabisa na haya mambo!

Sasa sijui Uluteri na Unyumbani unahusika vipi na maslahi ya umma?

Sishangazwi na mtu binafsi ambae ulimsikia.

Ninashangazwa ninapomsikia mgombea Urais akiyasema hayo ya kutaka achaguliwa na walutheri tena kanisani.

Nikitazama list ya viongozi wa ukawa napatwa mashaka sana kuwa kuna agenda ambayo haipo wazi.
 
Unashangaa mpe wa nyumbani wakati Lowassa anasema walutheri wampe kura kwa kuwa yeye ni mlutheri.

Hilo halikupi shida?
pia usisahau kumshangaa funder wa hili ambae ni mwenyekiti wako wachama,utawala wake umejaa udini
 
Najua na nakubali kwamba kila mtu ana haki ya kumuunga mkono mgombea yeyote yule na kwa sababu yoyote ile lakini inakatisha sana tamaa pale unapoona changamoto bado zipo nyingi lakini watu hata hawana habari nazo na walicho na habari nacho ni sehemu atokayo mtu wao!
 
Au kwasababu aliwawekea trafic lights kwao chato?

Watu wa Mtwara walimpa wa 'nyumbani'.

Matokeo waliyaona.
 
Hiyo ni kauli ya dada mmoja hivi jirani yangu niliyemsikia akiongea kwenye simu!

Na huyo wa 'nyumbani' si mwingine bali ni yule mgombea urais kupitia CCM.

Huyu mdada anatokea huko kanda ya ziwa. Pia, jana niliongea na mtu wangu wa karibu aliyeko pande za Simiyu huko na akanambia kuwa mwelekeo wa watu wengi huko ni kumpigia kura mgombea wa CCM kwa kutumia hiyo sababu ya wa 'nyumbani'.

Sasa mimi sielewi kabisa.

Hivi ina maana rais akiwa ni wa 'nyumbani' ndo shida za watu wa 'nyumbani' zitaisha au?

Kama hazitaisha, kuna nini kingine katika kumpigia kura huyo mtu wa 'nyumbani'?

Sisi ndo sisi,mtake msitake we will make it.....Chaggadema msilete fujo na hicho kitega uchumi chenu na huyo fisadi papa wenu.
 
Sisi ndo sisi,mtake msitake we will make it.....Chaggadema msilete fujo na hicho kitega uchumi chenu na huyo fisadi papa wenu.

Please translate your gobbledygook to common parlance so some of us can understand......
 
Back
Top Bottom