Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

Chadema hawajawatendendea haki wanachama wao wa kitambo, wanachama waliozunguka huko kaskazini kukipigia debe chama na kutangaza sera zao, leo hii anakuja mtu toka team pinzani, let me put it this way ..."Anakuja Some one who is a REJECT " kutoka chama pinzani .. mtu ambaye miaka 7 iliyopita walikuwa wamemuweka katika list wa mafisadi wakubwa wa nchi hii wanampokea na kumpa form ya kugombea urais....

hivi mchakato wa kupata mgombea mbona haukuwekwa wazi...?
Lowassa mmemchagua kwa vigezo vipi ambavyo wanachama wa siku nyingi wa CDM hawana..?
 
Mkuu Character X umenigusa sana sana, Asante Sana!!

Sitaki niongeze wala kupunguza hapo neno lolote, nisije nikautia mchuzi ushuzi, ila niseme moja tu, kuwa, Mwanakijiji (na hawa kina Zitto) wasipoelewa hata ujumbe wa kimapinduzi kama huu basi hawataelewa tena.

You could not explain it better bro. bravo!!
 
Chadema hawajawatendendea haki wanachama wao wa kitambo, wanachama waliozunguka huko kaskazini kukipigia debe chama na kutangaza sera zao, leo hii anakuja mtu toka team pinzani, let me put it this way ..."Anakuja Some one who is a REJECT " kutoka chama pinzani .. mtu ambaye miaka 7 iliyopita walikuwa wamemuweka katika list wa mafisadi wakubwa wa nchi hii wanampokea na kumpa form ya kugombea urais....

hivi mchakato wa kupata mgombea mbona haukuwekwa wazi...?
Lowassa mmemchagua kwa vigezo vipi ambavyo wanachama wa siku nyingi wa CDM hawana..?
ulitaka watendewe haki ili wewe m-lumumba ikusaidie vip? cdm tusipotendeana haki si ndo vizuri tusambaratike ili m-lumumba ufaidi? m-lumumba unatushauri CDM namna ya kujiimarisha ili tuishinde lumumba?!!!!!!

Lowassa ndo baba yetu, Legwanan wetu, mgombea wetu makini.

ccm mmeshajimix, hatukubali ku fall kwenye provocation yenu, sisi ni makini si dhaifu kama nyie, sisi ni mutoto ya mujini

Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoooooooooooooooozzzzz........
 
That was then
sasa Slaa sio lazima asikilizwe
CHADEMA ni Mbowe na Mtei...ndio hasa waliofanikisha kumleta Lowassa
provocation za kitoto hizi, hizi kawafanyie washamba wenzio siyo sisi mutoto ya darisalamu

ni Lowassa tu kwa kwenda mbele!!
 
There is a moral principle that says the end does not justify the means. Morally, you cannot do a bad thing in order to achieve a good result.

While removing CCM from power is a good thing, it is morally wrong to use evil methods to achieve that end. For example, we may not kill them off.

Forming alliances with corrupt people is evil. We may not morally do so in order to remove ccm.

I am profoundly disappointed by what has taken place lately. But I remain an ardent follower of Dr Slaa.
mtaje huyo corrupt na tuwekee na ushahidi wa u-corrupt wake otherwise shutup!!
 
MWANAKIjiji angalia na upepo tunakaribia kumng'oa nduli bwana.
 
Last edited by a moderator:
angalau tingatinga amedanganya bunge hilo zee lisoweza ata kujieleza amefanya mangapi maovu ...ChADoMO hamna lenu mumepewa garasa mnaona ndio umeokota kidude Lol
 
Gazeti lote hili uliloandika ni kumshawishi mtu tu akubaliane na wewe bila hoja ya maana eti kwa kuwa wewe huoni mbali na yeye mwanakijiji awe kama wewe! Unamshawishi mzee kuwa ni sawa kabisa kuingizwa ikulu na mwizi ili muradi tu azma ya kuingia huko itimie! Huu ni muono mfupi wa ushawishi
 
Tafiti zinaonyesha EL rating yake ni kubwa kuliko Wagombea wengine, Kumkataaa mtu kama huyo kwa sababu za Misimamo Mwanakijiji ni Sawasawa na kuungana na CCM waliomkata EL.Ni Busara kuungana na kuwapumzisha Magamba,mengine yatafuata,EL Hana uwezo wa kubadili itikadi za CDM au Ukawa.Big up Mbowe& Dr Slaa,you people are very smart.
 
Kwa baadhi yetu kuna tatizo la mtiririko wa taarifa (hasa muhimu) haukuwa sawa kwa upande wa CHADEMA na hivyo kupelekea maswali mengi ambayo nayo yalizaa maswali kwa vile hoja hazikupingwa kwa hoja bali nguvu na hisia.

Nimepata/nimesoma taarifa mbili tatu hivyo sasa naweza kuelewa option ya CHADEMA kuhusu Lowassa.
 
MMM hajatazama a big pic kama muandishi alivyoainisha??

Kinachonishangaza ni nyie watu wa CCM, leo kutuona kwamba sisi tumekosea?? Mi nahisi, kama mgeona sisi tumekosea, ilikuwa ni nafasi bora kukaa kimya, ili 25-10, muthibitishe makosa yetu!!!

Cha, kushangaza leo, CCM anatueleza njia bora ya kuweka upinzani imara!! Upuuzi gani huu???

Nani aliewahi kufungua mdomo wake wakati EL akiwa ndani ya chama chenu kumuita fisadi?? Eti leo ndio mnafata nafasi ya kusema hivyo?? Nendeni kwenye majukwaa mumuite hivyo!! Nadhani majibu atakayowarudishia hamtakaa kusahau kwa kile ninachomfahamu huyu bwana.

EL ni fisadi...sawa, ila Meremeta, EPA, Escrow, deep gereen , kiwila yooote haya ni EL aliingia au alishuudia mikataba?? Rada, ndege ya Rais?? Mbona mnataka kutuona wapumbavu?? Wapumbavu nyie wenyewe!!!

Kwa taarifa yako, subiri uone hiyo 25/10, ndio utajua
Kiherehere nadhani hapo tunatofauitiana. Hata tuliopo CCM tunahitaji mageuzi
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli ni kama vile Mwanakijiji alikuwa anataka Slaa areact negatively na kutokee mtakafaruku ili aprove point yake (mafahali wawili hawakai zizi moja).
Sijawa fun wa Lowasa lkn nataka mabadiliko kwa nguvuu zote.
Ni kweli angekaa kimya tu kama kweli ni muumini wa mabadiliko. Alisha weka record clear kuwa hayuko in favor of Lowasa kuongoza lkn haikuwa vyema kuchochea au kupandikiza mawazo ya kugombania uraisi btn sio tu Lowasa na Slaa lkn pia wafuasi wao. Haikuwa busara kbs kwa mtazamo wangu. I could take it from watu wengine but not him.

Mkuu umenena vema, ndio maana watu wanasema siasa inataka watu wanyumbufu na wenye roho ngumu. siasa si uanaharakati.

unaweza kuteleza kidogo tu kwenye siasa ndio ukapotea jumla kwani wengi wetu Watanzania tunajielewa wenyewe.

Nasisitiza tena bila umoja hakuna mafanikio. tunapaswa kukaa chini na kutafakari kwa kina kabla ya kuweka bandiko lolote, kwani watu wazima wamefanya vikao mara kadhaa mpaka wakafikia makubaliano je tuwaone hawana akili? ama aidha badala ya kuwapongeza tuone hakuna cha maana walichotenda? La hasha binafsi maazimio yaliyopitishwa baada ya vikao niliyathamini na kuyapa umuhimu unaostahili. tusipokubali maoni ya wengine na kuona yetu ndio sahihi huo ni ubinafsi na ubinafsi hauna tija yoyote katika mageuzi popote duniani. ikiwa alifanya hivyo kwa kuchokoza hisia za wanabodi (na ndicho nikionacho) ni vema la si hivyo sina jingine la kusema zaidi kwamba ni agenda nyingine ya kutokubali kuwa tu wamoja katika safari.
 
mwanakijiji hawezi waombea chadema mema...ni snitch

mkuu je una ushahidi?
mada zingine mtu huanzisha ili kupata tathmini ya tukio husika. kupima hisia za watu. kabla ya kurukia maamuzi tunapaswa kutambua lengo la mhusika. ikiwa itathibitika ni kweli tunamhukumu kwa kujua si mwenzetu.

Kwa sasa tunamhitaji yeyote toka popote ili kufikia lengo husika.
 
Very well said.
Kutokana na postings za MM, ni hakika kwamba yeye ni analyst mzuri wa mambo,
na anaweza kuelezea jambo lolote kwa ufasaha na uelewa mzuri sana na likaeleweka.
Kwahiyo anafaa kuwa mwalimu (academician). Tatizo la kumfanya mwalimu kuwa
kiongozi ni kwamba anaweza kupotosha wale wanaomfuata au kumtegemea kwa mawazo
iwapo msimamo au mtazamo wake utakuwa kinyume na matarajio ya wale wanaoongozwa.
Kwa maneno mengine, MM hawezi kuwa kiongozi wa kutoa chachu ya safari ya matumaini.
Viva Mbowe, pragmatic leader and non-academician
 
Tafakari kwanza what is behind Lowassa kuingia Chadema ndo uje kumshauri Mzee Mwanakijiji.

Sasa ndo naelewa kwa nini wanasema half knowledge is dangerous than total ignorance? Yani kama hii ndo thinking yenu sishangai wale walioaminishwa Gaddafi ndo mbaya na atoke na leo wanashangaa Gaddafi katoka ila yaliyowakuta ni zaidi ya hata yale waliyokuwa wanayawaza.

I feel sorry for you.

Umeongea point sana
 
Tafakari kwanza what is behind Lowassa kuingia Chadema ndo uje kumshauri Mzee Mwanakijiji.

Sasa ndo naelewa kwa nini wanasema half knowledge is dangerous than total ignorance? Yani kama hii ndo thinking yenu sishangai wale walioaminishwa Gaddafi ndo mbaya na atoke na leo wanashangaa Gaddafi katoka ila yaliyowakuta ni zaidi ya hata yale waliyokuwa wanayawaza.

I feel sorry for you.

kwan inahtajika elimu kiasi gani kuelewa kwmba hii ni fursa ya pekee kuiondoa ccm na mifumo yke yte na haitakaa itokee tna!! ungeweza kumkataa Lowasa km huna malengo ya kuondoa utawala dhalimu wa ccm!! mapambano hya hyahtaji watu waoga! wengine ni wasomi msioweza kutafsiri wakati na mazingira yaliyopo km dira ya kule unakotaka kufika!!
 
Nafikiri bado hujanisoma vizuri. Ngoja basi nikufafanulie kidogo.
Kwanza kabisa inabidi uwe makini kuchambua na kupembua kuwa kwa nini Lowassa ameingia Chadema? Pili jiulize kwa nini anataka yeye tu agombanie????
Alafu nilipotolea mfano wa Gaddafi(Libya) sijamaanisha kuzungumzia njia iliyotumika kumuondoa Gaddafi, ninachomaanisha hapa ni hii slogani yenu mpya kuwa mbaya ni CCM na adui wetu ni CCM, nimesema hivi kuwatahadharisha kuwa hata Libya West na opposition waliwaaminisha walibya kuwa adui wao ni Gaddafi na tatizo lao ni Gaddafi badala ya kuwaeleza kimkakati kuwa kwa Gaddafi mnakosa hiki, hawapi hiki, hampati hiki na sie tukiingia tutawapa hiki, tutafanya hivi na kuweka hiki. Na kila mtu amekuja kuona walibya wanavyojuta leo.

Sasa nyie mnachotaka kukifanya ni tu kusema kuwa tatizo ni CCM as if leo CCM ikiondoka nchi itakuwa paradiso au nyie ni paradiso, alafu kibaya zaidi mnaenda kuwatumia watu walewale waliokuwa na sifa mbaya CCM ambao mlikuwa mnawasema vibaya, ambao mlikuwa mnawatumia kwenye majukwaa yenu kuisema CCM vibaya na CCM ikaonyesha ukomavu kwa kutema kwenye mchakato ili kujipa sifa nzuri kwa umma wa watanzania.


Asante nimekuelewa vizuri. Hataivo nadhani Tanzania inahitaji engine mpya., kuondoka kwa CCM kutatoa nafasi ya kuipa changamoto UKAWA kufanya vizuri kuliko CCM wakati huo huo CCM ikiikosoa UKAWA pale watakapo ona mambo yakienda vibaya. that competition is only healthy i believe, and that is besically why i insist tusiogope CCM kuondoka madarakani, and if it takes CCM kusambaratika yenyewe ilikukiwezesha kuanguka then so be it!

Comrade,
 
Back
Top Bottom