Recent content by conscy

  1. conscy

    JamiiForums Tanzania Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

    Mimi hapa nataabika na TECNO N8 yangu, ukiwasha data inapata moto wa hatari[emoji3][emoji3][emoji3] tiba yake ni kutoa betri utulie kama nusu saa..Tecno hoyeee
  2. conscy

    JamiiForums Tanzania Wana Wa Nchi Hodiii

    Najisikia Furaha sana Kuungana Nanyi ndugu Zangu Katika Jukwaa hili adhimu la JF hii Leo. Naombeni mnipokee kwani naamini jukwaa hili ni chumvi ya Maarifa mapya na chakula cha Ubongo pia..Asanteni
  3. conscy

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Dah Heko Kwenu..huko Arusha yuko jamaa alikua anafundisha tuition Kaloleni pale anaitwa Victor jamaa alkua anajua sana
  4. conscy

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Jamani Ninatafuta wimbo wa Estaam Ft Makamua unaitwa Hii Stori/Sikiliza Wimbo
  5. conscy

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Heaven Sent

    Happy earthstrong Heaven Sent be blessed
  6. conscy

    JamiiForums Tanzania Natafuta private school yenye ada ya kawaida mikoa ya Kaskazini

    Nenda Edmund Rice Sinon High School..ahh pako vizuri mno academically na mambo mengine
  7. conscy

    JamiiForums Tanzania Nimerudia mtihani mara 3 ndo nikafaulu, je naweza kwenda form five?

    Inawezekana Kabisa Mkuu wewe Kapambane shule niliosoma kulikua na watu kibao kama wewe na walikua na usongo mbaya na wakatusua vibaya mnooo. So wewe kasome mkuu A Level cyo complicated kama O Level aisee. Kasome
  8. conscy

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

    JCB, Chindo Man,
  9. conscy

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Ndege vita ya JWTZ iliyopita sasa hapa Dar mnaotaka chokochoko mjipange upya mtaumia

    Hahah..mtoa uzi umenichekesha kwahiyo hilo dege lililopita mngurumo wake ndo umekufanya uandike huu uzi? Au unadhani vita ni mngurumo wa dege la miaka ya 1880's? Unaomba lipite Arusha wakati kule kumbuka kuna chuo cha kijeshi kinacho heshimika barani Afrika na kama kupita zinapita sana jaribu...
  10. conscy

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ______________________ _____________________________ ________________________________ Hahah huo hapo unaandika barua kabisa
  11. conscy

    JamiiForums Tanzania Umesave vipi namba ya mchepuko wako??!Mi namewasave hivi nisikamatwe;

    Toka siku nilipo m-save kwa jina la Afande J. Kibiti ukaguzi wa simu yangu kapunguza
  12. conscy

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

    Hahahah..millioni tano aisee mbona kama ni bajeti ya kumtunza yule faru fausta!! Sasa hapo mtoto ndo kwanza ana nyonya anataka 5 millions, je akianza kula msosi si ndo atataka bajeti ya 10 millions
  13. conscy

    JamiiForums Tanzania Tulivyoenda kutoa Barua ya Posa Lugalo Jeshini, tukakimbizwa na Gobole

    Dah sasa huyo Mulokozi yuko wapi aisee..huyo ndo rafiki wa kweli sasa
  14. conscy

    JamiiForums Tanzania Tulivyoenda kutoa Barua ya Posa Lugalo Jeshini, tukakimbizwa na Gobole

    Hahahhaahha..nimecheka sana aisee et "Kambuzi chako kilichopotea"
  15. conscy

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani uliyowahi kuiangalia na ukaikubali kwa asilimia zaidi ya 90?

    01:Kuch kuch Hotahae 2:Kabhkush kabhgham 03:Three Idiot 04:Let it Shine 05:Momentum 06:Offside R.I.P Kanumba
Back
Top Bottom