ni swala la kushangaza sana,but imekuwa ni tabia kwa wanajamii wakiwaona watu wanapendana ama mwanaume kato zawadi kubwa,huwa tunatafuta kitu cha ajabu kuwasingizia,kwa mfano utasikia ah karogwa yule,au yule msichana anatoa tigo.mbona kuna mashoga kibao ambao hawajifichi na magari hawana?,kuna...