Ni kweli kwenda chuo sio guarantee ya kutoboa maisha,lakini tusisahau kuwa elimu ni ufunguo wa maisha. Kutokana na maelezo ya ndugu yetu, anaonyesha anamsaka elimu kwa udi na uvumba. Utagundua kuhangaika kote huko, nia ilikuwa ni kupata fedha ya kugharamia elimu, lakini kwa bahati mbaya mambo...