Babu kizaa mama kazingua sana, anataka kuleta mambo ya Yusufu na Nduguze

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,099
27,067
Wanasemaga MTU mzima hakosei anajisahau. Babu yangu amejisahau Sana.

NI age mate wa Mzee wetu Alhaji Ali Ibn Hassan Ibn Mwinyi.

Mama angu alitoka kijijini kwao na kuja Darusalama in the year 1974 baada kuolewa na Baba angu.

Fast forward. Last week he called my mother.

He insisted that he is so sick so that she should go to see him in the village.

Mama alipo enda.

" Mwanangu nime kuita . Mimi SASA hivi siku zangu za kuishi zimekaribia ukingoni. So nataka nikuonyeshe Mali zangu. Mashamba yangu na mipaka yangu ambayo nitakapo ondoka basi mtagawana na ndugu zako"

Kwa ufupi HUYU Mzee anataka mama angu ndio awe msimamizi WA Mali zake.

Mama anasema wakati babu ana waambia watoto wengine kwamba anataka Maza aende kumuona, mama alitoa ushauri kwanini wasiwepo na watoto wake wengine .. babu akasema " hapana mimi namtaka HUYU HUYU"

So mama alipofika kijijini akamchukua mmoja kati ya wadogo zake wa kike na kwenda nae Kwa babu ambae aliwaonyesha hizo Mali.

Baada ya hapo mama aliwapigia simu ndugu zake kuwajulisha Baba Yao alimuita Kwa sababu gani...

Ili asijenge picha MBAYA.

KWELI Mtu akizeeka anarudi kuwa kama mtoto.

Wewe babu kufanya kitu kama hiki huoni unamuweka mtoto wako kwenye hatari kubwa?

Unadhani watoto wako wengine watajisikia vipi?

Hujui upendo wa baba ndio upendo Wenye nguvu kuliko upendo wowote ule duniani?

Unaua na Ku huisha?

Yusufu aliuzwa utumwani na Nduguze Kwa sababu ya upendo WA Baba yake.

Kuna mamilioni ya watu duniani wanapitia matatizo makubwa na wengine wana uwawa na ndugu zao Kwa sababu ya wivu wa kupendwa na Baba zao.

I know my mother is Ur favourite child but Kwa hili umechemka.

I wish my father was around cause asinge ruhusu bi mkubwa kusafiri kuja kijijini Kwa sababu ya Huo upuuzi.

Bi mkubwa alinificha kuhusu hiyo Safari. Ningejua mapema nisinge mruhusu.

Sisi ngozi chafu tuna akili MBAYA Sana. Yani muda huu unaweza kukuta baadhi ya wajomba na mamaza wadogo wame gang up against my mother kwenye Vilinge vya WAGANGA na Wachawi...
Hahahahaha. personally am not afraid cause hakuna uchawi wowote ule Chini ya Jua ambao unaweza kumdhuru mama angu.. She is covered and protected by the Holy and Mighty Blood of Jesus Christ of Nazareth".

What am worried about may be this one:

If it happens that the oleman dies. Kwenye msiba, these fools may try to poison her. Zile sumu za asili zinazo fanya kazi taratibu...

Kwa sababu hiyo basi. If the thing happen. I shall never allow my mother to go there. I have the power to do so.

Or i shall command her to go there but not eat or drink anything therein.

I shall send with her some escorts and spies to make sure that she doesn't be poisoned in any manner whatsoever.

Should any bad thing happen to her i shall wipe out the entire family. I shall make sure that there is black out in the entire Mzee ....family and no one is left to tell..

Mzee kanikera KWELI HUYU.. sijui aliemwambia bi mkubwa ana shida na heka mbili za kijijini nani?

She is rich ( kibongo bongo) She got money and estates here in the Ds of M.

She got a lot of living to do.

Halafu Sisi waafrika watu WA ajabu Sana. Wewe binti yako ukishamuozesha anakuwa sio wako tena huyo. Anakuwa Chini ya mume wake.

Mambo ya urithi na Mali zako wanatakuwa wasimamie watoto wako WA kiume sio mtoto wako WA kike ambae Alisha olewaga toka enzi za Pontyo WA Pilato...

Babu yangu HUYU Ange enda shule angejifunzaga walau ile chemsha bongo inayo sema:

' UNA WATOTO WATATU, UNA NDIZI MBILI. KUNA MTOTO MMOJA UNAMPENDA KULIKO WENGINE NA UNATAKA APATE NDIZI KUBWA KULIKO WENZAKE BILA WENZAKE KUJUA".

JIBU LAKE NI : UTAWAPA WALE USIO WAPENDA NDIZI MOJA MOJA KISHA UTAWAAMBIA MKATIENI MWENZENU.. WAO WATAONA UNAWAPENDA WAO ZAIDI KUMBE UNAMPENDA MWENZAO..

HUYU Babu angetumia hata hekima hii ya darasa la tatu.

Babu kanikera sana HUYU..
 
Daa pole sana
Kuhusu mirathi inatofautiana kwa dini na hata wasiofuata dini Kuna mila na desturi
Ila kwa Hilo kama unayaona yajayo Bora umwambie mama awaite wote na wayaweke wazi kabla hayajawa mabaya zaidi maana wengi wanaona mirathi ni itajiri kumbe ni kama laana fulani wakianza kugombania na mwisho always huwa mbaya tu
 
Nimeshamwambia na amesha waambia ndugu zake. Of course some of them were saying the oleman is loosing his sanity. But kiukweli amenikera Sana Mzee Yule.

I love him cause he raised the best mother in the world for me but amenikera mno.

Huwezi kuonyesha upendo WA waziwazi Kwa mtoto wako mmoja mbele ya watoto wako wengine..
Unamuweka katika hatari ambayo NI unnecessary...
 
Inaelekea mama yako ndiye mwenye hali ya maisha bora kuliko ndugu zake. Babu yako si mjinga, amri a akikabidhi Mali kwa wengine zitauzwa na wengine kukosa.
Anaamini mama yako atazigawa kama inavyostahili.
 
Ana watoto WA kiume wapo vizuri Tu.. Babu anampendaga Maza tangu akiwa mdogo.. she was a dad's daughter...

Dah yani huyu alivyo zeeka anaweza kuwaita watoto wake wote halafu baraka zake zote za maneno akampa mama angu, mbele ya watoto wake wengine...
 
Nimeshamwambia na amesha waambia ndugu zake. Of course some of them were saying the oleman is loosing his sanity. But kiukweli amenikera Sana Mzee Yule.

I love him cause he raised the best mother in the world for me but amenikera mno.

Huwezi kuonyesha upendo WA waziwazi Kwa mtoto wako mmoja mbele ya watoto wako wengine..
Unamuweka katika hatari ambayo NI unnecessary...

Kiukweli ni bora mirathi mtu anaandika akiwa bado ila wengi huwa wanaogopa utafikiri ndio anawahisha umauti
Hapo mwache mama atayamaliza wewe usikandamize sana wao ndio ndugu na watayamaliza
Awaambie tu hayo maeneo yatakuwa yao wote na hakuna kuyauza
Waweke kama sehemu ya kukutania na kuwa Mali yao wote
Nimeona familia moja wao mpaka wazee wao waliwazika kijijini na nyumba ya wazazi ipo ya kizamani na wao kwa pamoja wamejenga mjengo mzuri tu maana wote wana kazi zao na wanaishi mijini na wana familia zao wote
Huko huwa wanaenda kila mwisho wa mwaka na kukutana wote na kufurahi kama familia maana ndiko walipozaliwa na kuwazika wazazi wao hapo
Dunia hii ni ya kupita kwa wote ila wengine huwa wanagombania mali utafikiri watakaa milele kumbe nao wanaiacha
Kwa hiyo ni bora kuiacha iwe mali ya yule wa kwanza ila kuiendeleza tu na kuwa ya familia
 
Yeah sure but me msimamo wangu na Imani yangu Mwanamke akisha olewa ana break up his family for good.. I don't want her to have a close relationship with her siblings. She is not of their house.

Hana ukaribu nao wa kihivyo toka mwaka 74.

They are like strangers to her..

Ushauri wangu share yake Kwa mmoja Kati ya Nduguze aachane nao...
 
Mwombee mama yako hekima ktk kulifanyia kazi hili
Sure mkuu I thank God bi mkubwa sio MTU WA tamaa kabisa.

Still they will hate the fact that she is so much loved by their father..

Sisi ngozi chafu akili zetu tunazijua wenyewe
 
Hivi kuonesha mali tu ni tatizo? Unaita upuuzi, si afadhali sasa zinajulikana na ikitokea kweli anapumzika angalau kuna mtu ataonesha mali ni hizi, mipaka ya mashamba ni hapa n.k.?
Kuna unaloogopa?
Sio lazima awe msimamizi, bali angalau anajua mali ziko wapi n.k.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Wanasemaga MTU mzima hakosei anajisahau. Babu yangu amejisahau Sana.

NI age mate wa Mzee wetu Alhaji Ali Ibn Hassan Ibn Mwinyi.

Mama angu alitoka kijijini kwao na kuja Darusalama in the year 1974 baada kuolewa na Baba angu.

Fast forward. Last week he called my mother.

He insisted that he is so sick so that she should go to see him in the village.

Mama alipo enda.

" Mwanangu nime kuita . Mimi SASA hivi siku zangu za kuishi zimekaribia ukingoni. So nataka nikuonyeshe Mali zangu. Mashamba yangu na mipaka yangu ambayo nitakapo ondoka basi mtagawana na ndugu zako"

Kwa ufupi HUYU Mzee anataka mama angu ndio awe msimamizi WA Mali zake.

Mama anasema wakati babu ana waambia watoto wengine kwamba anataka Maza aende kumuona, mama alitoa ushauri kwanini wasiwepo na watoto wake wengine .. babu akasema " hapana mimi namtaka HUYU HUYU"

So mama alipofika kijijini akamchukua mmoja kati ya wadogo zake wa kike na kwenda nae Kwa babu ambae aliwaonyesha hizo Mali.

Baada ya hapo mama aliwapigia simu ndugu zake kuwajulisha Baba Yao alimuita Kwa sababu gani...

Ili asijenge picha MBAYA.

KWELI Mtu akizeeka anarudi kuwa kama mtoto.

Wewe babu kufanya kitu kama hiki huoni unamuweka mtoto wako kwenye hatari kubwa?

Unadhani watoto wako wengine watajisikia vipi?

Hujui upendo wa baba ndio upendo Wenye nguvu kuliko upendo wowote ule duniani?

Unaua na Ku huisha?

Yusufu aliuzwa utumwani na Nduguze Kwa sababu ya upendo WA Baba yake.

Kuna mamilioni ya watu duniani wanapitia matatizo makubwa na wengine wana uwawa na ndugu zao Kwa sababu ya wivu wa kupendwa na Baba zao.

I know my mother is Ur favourite child but Kwa hili umechemka.

I wish my father was around cause asinge ruhusu bi mkubwa kusafiri kuja kijijini Kwa sababu ya Huo upuuzi.

Bi mkubwa alinificha kuhusu hiyo Safari. Ningejua mapema nisinge mruhusu.

Sisi ngozi chafu tuna akili MBAYA Sana. Yani muda huu unaweza kukuta baadhi ya wajomba na mamaza wadogo wame gang up against my mother kwenye Vilinge vya WAGANGA na Wachawi...
Hahahahaha. personally am not afraid cause hakuna uchawi wowote ule Chini ya Jua ambao unaweza kumdhuru mama angu.. She is covered and protected by the Holy and Mighty Blood of Jesus Christ of Nazareth".

What am worried about may be this one:

If it happens that the oleman dies. Kwenye msiba, these fools may try to poison her. Zile sumu za asili zinazo fanya kazi taratibu...

Kwa sababu hiyo basi. If the thing happen. I shall never allow my mother to go there. I have the power to do so.

Or i shall command her to go there but not eat or drink anything therein.

I shall send with her some escorts and spies to make sure that she doesn't be poisoned in any manner whatsoever.

Should any bad thing happen to her i shall wipe out the entire family. I shall make sure that there is black out in the entire Mzee ....family and no one is left to tell..

Mzee kanikera KWELI HUYU.. sijui aliemwambia bi mkubwa ana shida na heka mbili za kijijini nani?

She is rich ( kibongo bongo) She got money and estates here in the Ds of M.

She got a lot of living to do.

Halafu Sisi waafrika watu WA ajabu Sana. Wewe binti yako ukishamuozesha anakuwa sio wako tena huyo. Anakuwa Chini ya mume wake.

Mambo ya urithi na Mali zako wanatakuwa wasimamie watoto wako WA kiume sio mtoto wako WA kike ambae Alisha olewaga toka enzi za Pontyo WA Pilato...

Babu yangu HUYU Ange enda shule angejifunzaga walau ile chemsha bongo inayo sema:

' UNA WATOTO WATATU, UNA NDIZI MBILI. KUNA MTOTO MMOJA UNAMPENDA KULIKO WENGINE NA UNATAKA APATE NDIZI KUBWA KULIKO WENZAKE BILA WENZAKE KUJUA".

JIBU LAKE NI : UTAWAPA WALE USIO WAPENDA NDIZI MOJA MOJA KISHA UTAWAAMBIA MKATIENI MWENZENU.. WAO WATAONA UNAWAPENDA WAO ZAIDI KUMBE UNAMPENDA MWENZAO..

HUYU Babu angetumia hata hekima hii ya darasa la tatu.

Babu kanikera sana HUYU..

Mkuu hili lisikutatize, it is a very simple issue to deal with. Kwa sasa bi mkubwa wako hili suala aliweke wazi kwa ndugu zake secretly (without the old man being aware). And when your grand’s life terminates (but we don’t wish so), your lovely mother will delegate to one of her brothers.
 
If it happens that the oleman dies. Kwenye msiba, these fools may try to poison her. Zile sumu za asili zinazo fanya kazi taratibu...
Kwenye hili usijali. Yesu yupo
Or i shall command her to go there but not eat or drink anything therein.
Hili mwache ale na anywe atalindwa na Yesu
I shall send with her some escorts and spies to make sure that she doesn't be poisoned in any manner whatsoever.
Nakushauri kwa hili you yourself should escort her. you are her loved son. Be a bodyguard so as to save her.
 
Back
Top Bottom