alibaaliyo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 625
- 578
Sorry Ushmen
Internet haipotezi kumbukumbu.....Hapo niwaka 2014 uliandika uzi kwamba upo kidato cha tano na haujawahi kufanya mapenzi.
Then 2017, ukaandika uzi kwamba upo chuo mwaka wa kwanza.
Kisha 2017, ukaandika tena kwamba umefeli kidato cha nne na ukahitaji usaidiwe usifeli maisha.
Leo 2020 umekuja na uzi kwamba mwaka juzi (2018) ulichaguliwa kujiunga na chuo cha Mwenge huko Moshi.
Sasa nimejaribu kutafakari na nikajikuta ninapata mashaka kidogo mkuu, ebu nieleweshe pengine nisije nikawa ninakuwazia tofauti na nikachuma dhambi bure.View attachment 1510110View attachment 1510114View attachment 1510117View attachment 1510128
Hawa wapumbavu ndo huwa wanafanya hata watu wengine wenye shida 'genuine' wasisaidike...Yaani matapeli yamejaa kila konaHapo niwaka 2014 uliandika uzi kwamba upo kidato cha tano na haujawahi kufanya mapenzi.
Then 2017, ukaandika uzi kwamba upo chuo mwaka wa kwanza.
Kisha 2017, ukaandika tena kwamba umefeli kidato cha nne na ukahitaji usaidiwe usifeli maisha.
Leo 2020 umekuja na uzi kwamba mwaka juzi (2018) ulichaguliwa kujiunga na chuo cha Mwenge huko Moshi.
Sasa nimejaribu kutafakari na nikajikuta ninapata mashaka kidogo mkuu, ebu nieleweshe pengine nisije nikawa ninakuwazia tofauti na nikachuma dhambi bure.View attachment 1510110View attachment 1510114View attachment 1510117View attachment 1510128
Niliamua kuchimbua kwasababu nilijikuta tayari nataka kumpeleka sehem akachukue kirikuuCushman umetishaa. Alisema Ruge Mtahaba. Ogopa Mungu na Teknolojia.
Bila samahani mkuu...Sorry Ushmen

Polee Sanaa ndugu...
Hyo mvua binafsi imeniathiri ktk kilimo changu cha mpunga huwez amini eka moja mtu unapata gunia 3 adi 2...
Kuna jamaa yngu nae alilima ufuta pande za Kilwa katoka patupu hajarudisha ata cent..
So,usijihisi vibaya ktk Hilo janga,ni janga la taifa kila mkulima limemgusa so usikate tamaa.
Sina kazi ya kukuajiri Ila nina mawazo ya kukupa ili ufikie malengo yake.
1:- Jipange urudi tena ktk kilimo cha maindi naamini unauzoefu wa kutosha ktk hcho kilimo,pia naamini mwakani ni mwaka hali ya hewa itakuwa shwari kwa wakulima hvyo usikate tamaa.
2:- Kabla hujafikiria kuajiriwa embu kaa chini fikiria wazo zuri la biashara ambayo utaweza kuiendesha upate chochote kitu,jaribu kuwa mbunifu kulingana na changamoto zinazokuzunguka.
Najua utasema tatizo mtaji Ila amini mtaji upo Ila tatizo mawazo.(money is all about an idea that why we have a business idea)
Tengeneza idea nzur ya biashara theni itengenezee business plan yako nzuri na iwe simple tu afu feel as if unaimiliki na unaiendesha hyo biashara...then washirkishe watu wako wa karibu kuhusu hyo idea yako ikiwezekana ata apa jf ilete watu wenye uzoefu nayo watakupa mwangaza.
3:- naomba uamini kwenda chuo si ndio kutoboa maisha...usijihisi mpweke hyo elimu uliyo nayo apo inatosha kwako kukuwezesha kutoboa life.
Mwisho Kama upo tayar kushare na mimi mawili matatu kuhusu idea mbalimbali za biashara ni pm mkuu...Mana nami nipo ktk kupambana japo namalizia degree yangu niingie mtaani kupambana kikamili.
Kama utapata pa kujishikiza nakuomba fungamana na vtu hivi.
1. Uamini
2.kujituma
3.subira (uvumilivu)
4.nidhamu
Usikufe moyo mkuu, ebu ngoja akuje atufafanulieAise kidogo tu nianze kumtafuta nimusaidie kumbe nimuongo
Very interesting....Hawa wapumbavu ndo huwa wanafanya hata watu wengine wenye shida 'genuine' wasisaidike...Yaani matapeli yamejaa kila kona
Ebu tusimuhukumu kwanzaKumbe Ni Tp Mazembe(mpigaj)
Duuu Mambo ya weekend hayoKijana ebu lete namba yako chap nikuhoji kabla sija![]()
Mkuu hongera kwa kuwa na Masters.Dogo achana na story za chuo kabisa. Tafuta kazi upate mtaji ufungue biashara. Ajira hamna.
Watu tuna Masters zetu ila tupo tu tunashinda jf kusoma story za kula tunda kimasihara.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Tusimueazie hivyo mkuu, ebu ngoja akuje atuelekezeKumbe Ni Tp Mazembe(mpigaj)