Kuhusu Sample, Mheshimiwa alitumia Formula ya GIGO

Hii kitu nimesoma kwenye mitandao watu wametucheka sana, Mzee ametumia formula au msemo umaoitwa GIGO. Hii inasomeka hivyo hivyo kwahio wale mburula wa Lumumba FC wasihangaike kutafuta Kamusi.

Kirefu chake ni Gabbage In Gabbage Out yaani uki-feed wrong information utapata wrong output. Kwahio There is no way wangepata majibu sahihi, never!

Mashine za watu wala hazina matatizo wala wataalamu hawana shida, sisi ndio wenye shida. Unakua na hypothesis na hukubali hio hypothesis unataka uilazimishe iwe ukweli.
Ulikurupuka

Unabeba aibu ya vizazi
 
Garbage In Garbage Out....daadaadeeki!

Trump kaonekana hero, maana yy at least aliwaza kwann watu wasichomwe tu drip za dettol na sanitaiza, hili gonjwa liishe!

Kama kila kitu ni kibaya hakimridhishi, arudi mujini aje aongoze mapambano, akanywe kahawa na wavuvi ferry...😀
Akafturu msikiti wa Mtoro...😀
Wapi zile za kufturishana mwaka huu??

Everyday is Saturday...................... 😎
 
Hii kitu nimesoma kwenye mitandao watu wametucheka sana, Mzee ametumia formula au msemo umaoitwa GIGO. Hii inasomeka hivyo hivyo kwahio wale mburula wa Lumumba FC wasihangaike kutafuta Kamusi.

Kirefu chake ni Gabbage In Gabbage Out yaani uki-feed wrong information utapata wrong output. Kwahio There is no way wangepata majibu sahihi, never!

Mashine za watu wala hazina matatizo wala wataalamu hawana shida, sisi ndio wenye shida. Unakua na hypothesis na hukubali hio hypothesis unataka uilazimishe iwe ukweli.

Una maanisha ukiweka specimen ambayo si ya binadamu, hiyo mashine inafanya specimen igenerate Corona Virus? Ebu fafanua kidogo hapa.

Umetengeneza mashine za aina ngapi za maabara tangu usome IT?

Umethibitishaje kwamba matokeo ya utafiti huu yako driven na sampling errors?

Masuala ya kisayansi waachie wenyewe. Utakujaga kuchangia kwenye matokeo. Kwa sasa huwezi dogo.

Eti watu wametucheka!. Mliocheka ni wewe na vilaza wengine. Wenye akili wanajua iko kazi kubwa zaidi ya kufanya mbele juu ya jambo hili na ndiyo sababu hawacheki wala kukurupuka kudhihadi.
 
Mkuu mbona kama kuna msaga maindi kaletewa kokoto akazitia kwenye kinu akitegemea utoke unga wa sembe.

Kwa mantiki ya huyu jamaa, ina maana hizo kokoto kwenye mashinne, kwa kuwa haikuwa mashine ya kokoto ilitoa unga wa mahindi?
 
yaani ukiangalia watz wengi mtaani wanavyokwenda ne MEME,na wanajf utagundua ni wazi hawakuelewa magu alikusudia nini kueleza kilichofanyika.ndio maaana akagusia siasa iko ndani yake.

ukitulia utagundua doubt ya mh ilikuwa kwenye majibu ya wataalam,sio kipimo.inawezekana watu hata hawajisumbui kukesha na sample maabara,wanaepua juu kwa juu,imooo.

sasa embu tutulize munkari kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kimaabala kimoja mtaani kwetu tumewahi wafanyia hivyo. Mana ni Maabala na wanauza dawa hapo hapo, sasa ilikuwa ukienda kupima pale hata kama ushapima sehem nyingine na umeonekana huna tatizo lazima ugundulike una ugonjwa ili ununue dawa.

Ko ile hali ikatupa mashaka ikabidi tufanye alicho kifanya Magu. Sisi tulichukua chai yenye majani ya chai(huwa inafanana na mkojo) tukaweka kwenye vidude walivyotupa vyakuchukulia sampuli, majibu kuja hivi eti ile Chai ina U.T.I. toka apo sijarudi tena ile Maabala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri sana kwenye hili suala la vipimo tuambiwe ukweli...
(Is the COVID-19 Coronavirus Test Reliable?)!
Siku zote tuhimize uwazi (transparency)!
Kifaa chetu kinaitwaje, Cha mwaka gani? Kimetengenezwa wapi? Msambazaji nani? Tumepewa kama donations au tumejinunulia?
Je, tunatumia combination of tests ku-justify majibu?
Au pengine tumefaraghua vifaa vilivyokuwepo ili vitumike kupima ugonjwa mpya...??
Changamoto ya vipimo sisi si wa kwanza...
Nchi nyingi tu duniani tayari walikataa baadhi ya vipimo...!
Walichofanya ni kukubali uwepo wa tatizo la #Corona.
Na kwa haraka wakaumiza vichwa vyao "kudesign" vipimo vya kwao wanavyoridhika na majibu yake...!

Kabla ya kukataa "Vipimo vyao"... Tujiulize
Je, wakipata dawa au chanjo tutakubali?
Kama jibu ni Ndiyo/Hapana (50:50) basi tuingie mzigoni siye wenyewe.. Tusake vipimo...Tusake chango... Tusake dawa...!
#Covid_19 ni zaidi ya ugonjwa!
#Covid_19 ni vita ya kufa, kupona na kuishi!
Well said haya ni maisha yetu site aiseee
 
Una maanisha ukiweka specimen ambayo si ya binadamu, hiyo mashine inafanya specimen igenerate Corona Virus? Ebu fafanua kidogo hapa.

Umetengeneza mashine za aina ngapi za maabara tangu usome IT?

Umethibitishaje kwamba matokeo ya utafiti huu yako driven na sampling errors?

Masuala ya kisayansi waachie wenyewe. Utakujaga kuchangia kwenye matokeo. Kwa sasa huwezi dogo.

Eti watu wametucheka!. Mliocheka ni wewe na vilaza wengine. Wenye akili wanajua iko kazi kubwa zaidi ya kufanya mbele juu ya jambo hili na ndiyo sababu hawacheki wala kukurupuka kudhihadi.
Shukrani sana, Asante
 
yaani ukiangalia watz wengi mtaani wanavyokwenda ne MEME,na wanajf utagundua ni wazi hawakuelewa magu alikusudia nini kueleza kilichofanyika.ndio maaana akagusia siasa iko ndani yake.

ukitulia utagundua doubt ya mh ilikuwa kwenye majibu ya wataalam,sio kipimo.inawezekana watu hata hawajisumbui kukesha na sample maabara,wanaepua juu kwa juu,imooo.

sasa embu tutulize munkari kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa
 
Watatucheka sana! Imagine the so called utafiti umeshafanyika mpaka amefikia hatua ya kuwatangazia wananchi matokeo then anamwagiza waziri akafuatilie!! Inamaana akafanye tena utafiti?

Kwa uelewa wangu mdogo nilizani hatua inayofuata ni kuamua tu kutotumia hivyo vifaa na waliohusika kutumika na mabepari kuchukuliwa hatua.

Mkuu kumuagiza tu waziri wa sheria kufuatilia masuala yaliyopo wizara ya afya ni komedi tosha kwa nchi za wenzetu!
 
Ninga alichosema ni sahihi.Mashine zingine zinakuwa commanded kutoa majibu ya aina 2 tu positive au negative.Hata wewe kuna vipimo vya mimba vinaweza kuonesha kuwa ana mimba ya miezi 8.Baadhi ya vilivyo advance vinasoma" error" kma kama ukiweka unwanted output.Ni vema kutafakari na kujua mashine hizi zinafanyaje kazi kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tukubali kwamba njia aliyotumia raisi ilikuwa ni sahihi kufanya uchunguzi wa aina hii,kwa sababu kama ni kufeli kwa vifaa ni lazima viwe na matatizo,lakini linapokuja suala la mtu kusema eti sababu ya vifaa kufeli ni njia ilotumika kuvichunguza vifaa hivyo,hilo ni jambo ambalo halikubaliki.
 
Hii kitu nimesoma kwenye mitandao watu wametucheka sana, Mzee ametumia formula au msemo umaoitwa GIGO. Hii inasomeka hivyo hivyo kwahio wale mburula wa Lumumba FC wasihangaike kutafuta Kamusi.

Kirefu chake ni Gabbage In Gabbage Out yaani uki-feed wrong information utapata wrong output. Kwahio There is no way wangepata majibu sahihi, never!

Mashine za watu wala hazina matatizo wala wataalamu hawana shida, sisi ndio wenye shida. Unakua na hypothesis na hukubali hio hypothesis unataka uilazimishe iwe ukweli.

You are talking illiterally, hizo machine zimekuwa programed kusoma sample za aina mbalimbali, na sio binadamu au wanyama tu, na kutoa majibu kulingana na information (data types) iliyoingizwa. Kwa mfano kama sample ni ya binadamu, majibu yatakuwa mawili, either positive au negative, lakini hatutegemei papai (uncontaminated) to be tested positive!
 
Watatucheka sana! Imagine the so called utafiti umeshafanyika mpaka amefikia hatua ya kuwatangazia wananchi matokeo then anamwagiza waziri akafuatilie!! Inamaana akafanye tena utafiti?

Kwa uelewa wangu mdogo nilizani hatua inayofuata ni kuamua tu kutotumia hivyo vifaa na waliohusika kutumika na mabepari kuchukuliwa hatua.

Mkuu kumuagiza tu waziri wa sheria kufuatilia masuala yaliyopo wizara ya afya ni komedi tosha kwa nchi za wenzetu!

Mkuu, utafiti wa kisayansi huwa haufanywi namna unayopendekeza.

1. Katika ngazi hii tayari tumegundua kuna false positive za kushiba.

2. Kinachofuata ni kuchunguza sasa kujua sababu za hizo false positives ni nini ili ziwe addressed accordingly.

3. Wakati huo huo tuendelee kuchukua hatua zote muhimnu za tahadhari kama tunavyofundishwa.
Mungu aturehemu.
 
Hii kitu nimesoma kwenye mitandao watu wametucheka sana, Mzee ametumia formula au msemo umaoitwa GIGO. Hii inasomeka hivyo hivyo kwahio wale mburula wa Lumumba FC wasihangaike kutafuta Kamusi.

Kirefu chake ni Gabbage In Gabbage Out yaani uki-feed wrong information utapata wrong output. Kwahio There is no way wangepata majibu sahihi, never!

Mashine za watu wala hazina matatizo wala wataalamu hawana shida, sisi ndio wenye shida. Unakua na hypothesis na hukubali hio hypothesis unataka uilazimishe iwe ukweli.
Soma hii kama utaelewa:
How Do the COVID-19 Coronavirus Tests Work?
 
wapimaji ndio vilaza,mfano wewe una maji na mzani unaambiwa pima hayo maji ni kilo ngapi utashindwa kupima na ku specify kuwa ni kilo ya maji ,,😷 😷 🤣 🤣 halafu unatoa majibu kuwa kilo 5 ya maharage pambafuuu
 
Back
Top Bottom