Recent content by Collitoceae

  1. Collitoceae

    Kwa tabia hizi sijui mimi nimeumbwaje

    Hii inanikamilishia Imani yangu kuwa maisha ni mtazamo wako binafsi. Tabia pia ni mtazamo binafsi. Tabia njema kwa bwana Yule sio lazima iwe tabia njema kwa bwana Chee
  2. Collitoceae

    Wameishi miaka saba bila kufunga ndoa na wanataka kuachana.

    Pia kuwepo na ushahidi kuwa mliishi kama mume na mke chini ya paa moja kwa hiyo miaka 2
  3. Collitoceae

    Diamond kwisha habari yake

    Yani ameona mpaka atafute wa kumsapoti[emoji23][emoji23] Kama kijana kaweza kutoka from scratch mpaka kanununuq just a V8 achana na mengine. Huyu jamaa akasugue mguu na jiwe alale
  4. Collitoceae

    Diamond kwisha habari yake

    Dont follow the crowd Nimeona hata waliolelewa na wazazi wote bado wana kuwa mazwazwa tu
  5. Collitoceae

    Kufanikiwa mara ya kwanza taabu saana

    Kwenu kuna Vitz au passo? Naona dalili zote utawekewa Application ya Uber kwenye simu
  6. Collitoceae

    Mfanyabiashara ashusha tuhuma nzito kwa RTO Arusha

    Nakubaliana na wewe kabisa. Pia ile kozi inayoendeshwa pale polisi mess, unalipa 1.10,000 kiingilio na kitabu na alama za barabarani 2.85,000 cheti 3. 3,500 kiti ulichokalia Inasikitisha sana
  7. Collitoceae

    Diamond kwisha habari yake

    Malezi bora ni yapi[emoji848]
  8. Collitoceae

    Diamond kwisha habari yake

    Ego wont let u...
  9. Collitoceae

    Kwanini watumiaji wa marijuana ni watu makini ukilinganisha na watumiaji wa pombe.?

    Na sisi watumiaji tumewaacha waropoke maana ni busara ya simba kukaa kimya kuliko kubishana na Kondoo
  10. Collitoceae

    Kwanini watumiaji wa marijuana ni watu makini ukilinganisha na watumiaji wa pombe.?

    Hata Dingoo pale Njombe alisema kabisa, Moker kisirisiri uwe mkali[emoji23][emoji23] Uki-vutia chooni ,utatoka na akili ya chooni.[emoji23]
  11. Collitoceae

    Kwanini watumiaji wa marijuana ni watu makini ukilinganisha na watumiaji wa pombe.?

    Unafaidi ile laana arifu... Bangi sio mbaya, ubaya anao mvutaji
  12. Collitoceae

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Kiukweli, tenga muda na upitie Kadiri utakavyousoma na comments tofauti tofauti, itakusaidia kujua utasimama upande upi.
  13. Collitoceae

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Ni wazi hujasoma makala zilizopita na kuelewa. Ila umeanza vizuri kwa kujiuliza. Sasa nakusihi ukazisome kisha utajieleimisha. Kuelewa na kutokuelewa itabaki juu yako. Ahsante
Back
Top Bottom