atakuwa kasoma alama za nyakati,mfano we angalia tamko la kutaka urais ilitangulia halafu hizi kashfa ndo zinakuja,kwanini kashfa za rushwa hazijatangulia halafu ndo tamko la kutaka urais lifuatie?na ninakwambia kwa upande wa chama huu ndo mwanya pekee kutumia,ukishindikana hakuna njia nyingine...