Karne hii ya leo bado watu wanaoa kwa makabila? Mungu ibariki Tanzania.
I dont believe a single lie. Pia ni kuwadhalilisha Wanawake wa makabila mengine ambao ni bi bi zetu, mama zetu, shangazi zetu, dada zetu, wake zetu, nk.
Hivi umewahi kujiuliza kama wanawake wasingekuwepo duniani maisha yangekuwa vipi?
Na hayo makabila unayoyaona hayafai kuoa yangekuwa hayapo unajua tanzania ingekuwa vipi?
Mkuu, "Haya" ameshataja sema haina namba na mbele yake akaandika "Kazi kwenu"! Dah kazi ipo mwaka huu! Lakini vipi kuhusu Maasai?11. Haya (Bukoba)
labda utuambie kuna tofauti gani kati ya wanawake wa machame,rombo na maranguEbu changanua mistari yako hii
Sijaona Nyamwezi!!Mkuu, "Haya" ameshataja sema haina namba na mbele yake akaandika "Kazi kwenu"! Dah kazi ipo mwaka huu! Lakini vipi kuhusu Maasai?
Nilikuwa nimekaa na Profesa mmoja wa historia. Nimemualika mazungumzoNI. Anasema hii dhana nzima ya kabila ni potofu, kwamba inapewa uzito mkubwa sana kama some unit wakati ukiiangalia kwa sana utaona haiko hivyo.
Kuna wazuri na wabaya makabila yote.
Kwa hiyo unapotafuta mwenzi mzuri, angalia mengine, si kabila.
Hapo kwenye bold hao wasikupotoshe, wengi wao unakuta hata familia zilishawashinda wanakaa kusoma hadi saa saba za usiku kisha wanapita bar/kwenye madanguro wanachukua machangudoa. They are smart academically but very blunt socially!Nilikuwa nimekaa na Profesa mmoja wa historia. Nimemualika mazungumzoNI. Anasema hii dhana nzima ya kabila ni potofu, kwamba inapewa uzito mkubwa sana kama some unit wakati ukiiangalia kwa sana utaona haiko hivyo.
Kuna wazuri na wabaya makabila yote.
Kwa hiyo unapotafuta mwenzi mzuri, angalia mengine, si kabila.
Hapo kwenye bold hao wasikupotoshe, wengi wao unakuta hata familia zilishawashinda wanakaa kusoma hadi saa saba za usiku kisha wanapita bar/kwenye madanguro wanachukua machangudoa. They are smart academically but very blunt socially!
Kwa miaka ya nyuma kitu cha muhimu sana cha kuangalia wakati wa kuoa au kuolewa ilikuwa ni kabila. Kwa sasa hiyo dhana imepotea. Watu wanaoana freely. Cha muhimu ni kujiangalia wenyewe kama kweli mnashabihiana badala ya kuangalia makabila yenu!