Aisee umenikumbusha mbali sana nilikua nakaa Hostel ya Mamuya pale jamaa walitukosakosa sana manake sie ndio tulikua batch ya mwisho mwisho kurudi Hostel siku ile jamaa wakawapiga vijana simu wakaenda Hostel ya mbele wakapiga vitu kibao
hawa jamaa wameshazoeshana hivyo. mie nimekaa miaka minne Arusha. Mteja akienda dukan anamwambia mwenye duka nipe kitu flan wakat huku Dar tunasema naomba. ni tabia ambayo wamezoeshana na wenyewe wanasema mwenye pesa ndo mwenye kauli
Huyo Jamaa alieua nilimfahamu kupitia dada mmoja Hv ambae anaitwa Amitin alikua anafanya kazi Airtel na ndo mkewe alietorokea Dubai. Jamaa alikua anampiga sana yule Dada na ana wivu balaa plus kuna story niliskia kua pia anapenda kale kamchezo ka kuwaingilia kina Dada kinyume na maumbile. Baada...
Hii approach ni ngumu sana kwa maisha yetu watanzania sasa hivi. Anaekimbia hua haami mtaa anapotea mazima. So sidhan kama ni criminal case ya mtu kukamatwa na kuwekwa ndani kisa kakimbia mimba coz anaweza ikataa vilevile na wakashindwa ku prove. mwisho wa cku unakua umetumia muda nguvu na...
Wakati nasoma Primary kuna mwalimu alikua anapenda sana kuchapa fimbo wanafunz. tukamaliza tukaondoka. Baadae tunakuja skia anahitaj msaada wa matibabu hakuna hata mmoja wa wanafunz aliowafundisha alikua tayari kumchangia kutokana na chuki aliyoijenga baina yake na wanafunzi.
Kukusaidia tu Hata ukienda TCRA hutopata msaada kwa sababu as per TCRA line ikikaa zaidi ya siku 90 inakua recycled kwa sababu inakua inactive na hiyo ni regulation ya Tcra so Airtel hawajakosea. Ila kama laini yako ilikua na hela kama unavyosema hyo 4mill mie kwa ushauri tu nenda pale HQ...
Dah Kiloleni Tabora umenikumbusha mbali sana. enzi hizo tunatoroka tunaenda Rufita Club 1997 kushangaa swimming pool mkirud home tu ni kipigo cha hatari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.