Chemist boy
Member
- Mar 24, 2018
- 55
- 54
Habari wakuu, Mimi nimekuwa terminated na kampuni fulani, baada ya kupewa termination benefits naambiwa natakiwa nirudishe kwa kampuni fedha ya likizo niliyochukua January, housing allowance pia niliyochukua January. Je, sheria inaruhusu kufanyika ayo? Msaada tafadhali