Recent content by codes

  1. codes

    Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

    Mapimbi haya hayaeleweki hata yanataka nini, yenyewe ni kudandia dandi tu issues😁
  2. codes

    GE2025 Tukubali tu Jakaya Kikwete ndiye bingwa wa Siasa za Tanzania

    Huyu ndo mhuni mkuu na dalali anayedalia mali za taifa wakishirikiana na yule bibi. Angalia jinsi alivyomptisha yule bibi kihuni tofauti na taratibu za Vege, Mungu ikikupendeza mwite na huyo, tushangilie kwa mara nyingine
  3. codes

    GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    Wezi wanafanya maigizo, Pole pole, mpina ni planned mission ili kupoteza umma na issue ya NRNE, kama ilivyokuwa kwa Mamvi, Sumaye, tumewashtukia
  4. codes

    GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

    Majimbo ya Singida je, nani mwenye matokeo
  5. codes

    Mke wangu aliwahi kubakwa akiwa binti Leo ananieleza hajawahi kuwa na hisia ya mapenzi maisha yake Yote naombeni ushauri

    Vijana wa 90s, 20s chukueni hii, itawasaidia. Ukishapata pisi ambayo unaiona hii ni ya kaweka ndani, na baada ya kuioa. KATU/KAMWE USIRUHUSU mwanamke wako akusimulie chochote about his past relationship(s). Ona sasa mwenzetu unataka kutengana na bloodline zako kisa past relations. Kuwa na hisia...
  6. codes

    Youtube is banned, uingii bila vpn

    NRNE,Wa~ban na VPN, China wame~ban social network karibu zote ila maisha yanaendelea kwa VPN. Mazumbukuku ndo yanafikiri yaki~ban Social network yametukomoa, technology ya VPN ipo mbele zaidi uzwazwa wao.
  7. codes

    JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reform no election
  8. codes

    Rais Samia: Kazi hii mnayoifanya inapeleka ujumbe kwa wale waliojionesha kama watumishi wa dini lakini ni "watumishi wa ushetani'

    The signs of an incomptent and half cooked leader, amewasiliana na Yesu lini mpaka akampa list ya watumishi wa shetani?, hakuwa amepewa ujumbe huo na Yesu mpaka walipoanza kumkosoa?, uraisi wa kuokota shida zake ndo hizi
  9. codes

    Ipi ni njia sahihi ya kufanya biashara na mwanamke?? Kumfungulia biashara yake au Biashara yako yeye ndo asimamie?

    Utakuja kulia, mfungulie biashara kwa jina lako....,Nilishalia ...baada ya kumfungulia biashara kw jina lake alinifukuza...nisikanyage kwenye hiyo biashara🎊
  10. codes

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kiko wapi, ashapigwa 2, mlima ushakuwa mrefu. .
  11. codes

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Game haijaisha hii, Inter V/s Bayern
  12. codes

    Waachangiaji pesa wa CHADEMA kama hakiendi kwenye uchaguzi pesa mtakuwa mnachangia watu wazile tu hakuna maana acheni

    Ni zetu, wewe hela isiyo yako inakuwashia nini?, na zile tunazohonga wanawake nazo huwa unatuuliza?, Nimeamini hata mbogamboga moyoni mwao wanaiwaza CDM , midomo yenu inatamani kutamka CDM 24 hrs👇
Back
Top Bottom