Derby: viongozi wa Yanga kuitwa kesho

Derby: viongozi wa Yanga kuitwa kesho

Iwea hivi mkuu
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
No reforms no election
 
Crime is contagious, if the Government becomes a law breaker, It breeds contempt for law.
 
Iwea hivi mkuu
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kumbe kwel Yanga hatunaga akili au ni wew peke yako ndo una wazimu
 
Iwea hivi mkuu
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapo ndio umeharibu...!
 
Sisi kama Simba mkicheza tutawaona mmekua kina Zuwena...
Mlisema wenyewe hamchezi...
Au ndo mpka mbembelezwe mlambwe lambwe....
Na karia hajiuzulu wala bodi..hilo mkae mkijua
 
Sisi kama Simba mkicheza tutawaona mmekua kina Zuwena...
Mlisema wenyewe hamchezi...
Au ndo mpka mbembelezwe mlambwe lambwe....
Na karia hajiuzulu wala bodi..hilo mkae mkijua
Unaambiwa kolo-management watasusa Tena ....iwapo Yanga ataleta timu[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
[emoji599] Bodi ya ligi imeandika barua kwenda kwa Rais wa Yanga Eng. Heris,na wajumbe wote wa kamati ya utendaji ya Yanga ili kufanya kikao maalum cha kujadili mechi namba 184 kati ya Simba na Yanga.

Kikao hicho maalum kimepangwa kufanyika juni 9/2025,saa 4 asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano wa Bodi ya ligi,uliopo Ilala Dar es Salaam. Ikumbukwe hadi sasa Rais wa Yanga yuko Marekani kushuhudia fainali za FIFA Club World Cup.

[emoji599] #OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
View attachment 3360420
😀😀😂
Mbona watu wanahangaika sana,

Wanaotaka kwenda kucheza, sawa

Wasiotaka kucheza, sawa.

Kila mtu achukue 50 zake.
 
Mkuu Kwani Tecno Ina symbolize nn

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
1.Njaa
2.Dhiki
3.mihemko
4Kukosa uhakika wa maisha.
5.Kutojiamini
6.Uvimilivu wa mateso bila kuwaza fikra mbadala.

Kama mtu anaweza kuivumilia tecno simu ambayo Hadi watoto wa sekondari wanayo, achiliambali madhaifu yote atakwambia inakaa na chaji sana.

KIFASIHI, mtu wa aina hii anathamini sana ahueni ya sasa atakama haimpi kile anachohisi anastahili, haijalishi anakitu Cha zamani kiasi Gani kisicho na ubora ila kama kinampa alubaki ndogo inayomfanya asahau umuhimu wa vitu Bora basi anaona kilakitu kipo sawa na ni Bora kuliko kile Bora zaidi.

Mtu wa aina hii kumwambia BODI YA LIGI ienguliwe na kusukwa upya na watu waunge mkono NRNE Ili nchi iundwe upya kisheria na utendaji wenye weredi anaweza akubali ujinga sio mabadiliko, ndiyo maana vijana tunashauriwa sana kuepuka matumizi ya T3c no.
 
emoji599.png
Bodi ya ligi imeandika barua kwenda kwa Rais wa Yanga Eng. Heris,na wajumbe wote wa kamati ya utendaji ya Yanga ili kufanya kikao maalum cha kujadili mechi namba 184 kati ya Simba na Yanga.

Kikao hicho maalum kimepangwa kufanyika juni 9/2025,saa 4 asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano wa Bodi ya ligi,uliopo Ilala Dar es Salaam. Ikumbukwe hadi sasa Rais wa Yanga yuko Marekani kushuhudia fainali za FIFA Club World Cup.

emoji599.png
#OKTOBATUNATIKI
emoji736.png
emoji736.png

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
View attachment 3360420NRNE

[emoji599] Bodi ya ligi imeandika barua kwenda kwa Rais wa Yanga Eng. Heris,na wajumbe wote wa kamati ya utendaji ya Yanga ili kufanya kikao maalum cha kujadili mechi namba 184 kati ya Simba na Yanga.

Kikao hicho maalum kimepangwa kufanyika juni 9/2025,saa 4 asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano wa Bodi ya ligi,uliopo Ilala Dar es Salaam. Ikumbukwe hadi sasa Rais wa Yanga yuko Marekani kushuhudia fainali za FIFA Club World Cup.

[emoji599] #OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
View attachment 3360420
NRNE
 
Back
Top Bottom