Recent content by code4494

  1. C

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗶𝘅 𝗬𝗲𝗮𝗿𝘀 𝗶𝗻 𝗥𝗲𝗱: 𝗪𝗵𝗮𝘁 𝗕𝗿𝘂𝗻𝗼 𝗙𝗲𝗿𝗻𝗮𝗻𝗱𝗲𝘀’ 𝗨𝗻𝗶𝘁𝗲𝗱 𝗖𝗮𝗿𝗲𝗲𝗿 𝗥𝗲𝗮𝗹𝗹𝘆 𝗧𝗲𝗹𝗹𝘀 𝗨𝘀

    Bruno ni top class kwa Manchester United squad, timu iwe mbovu timu iwe nzuri,kiwango chake cha ubora wa hali ya juu kipo pale pale
  2. C

    JamiiForums Tanzania Je unajua siri hii kuhusu mafanikio

    Upo sahihi ,nakumbuka wakati nipo chuo bado nilikuwa nakaa nyumbani, Nilikuwa nasoma huku nafanya biashara ndogo ndogo hvyo kiuchumi sikuwa vibaya,niliweza kujilipia ada mwenyewe na kujikimu kwa kiasi chake... Kuna siku nimerudi nyumbani asubuhi nimepiga ugimbi haswa nipo hoi ,sasa nataka...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kama tunakula kila siku.. Kwanini wanaozalisha chakula wanabaki masikini

    Mfumo unamfavour DALALI kuliko mkulima
  4. C

    JamiiForums Tanzania Said Fella: Watanzania naombeni mnichangie nikatibiwe India, Yamoto Band hawapokei simu zangu

    Nadhani pia wasanii wetu na watu maarufu huwa wanajulikana ila umaarufu wao hauendani na uhalisia wa kipato chao. Labda kwa hawa wanaochipukia sasa wanaweza wakawa wamejifunza kwa waliowatangulia
  5. C

    JamiiForums Tanzania Gawio kwa wanahisawa NICOL

    Mwaka 2003 marehemu mama yangu,alitununulia hisa za NICOL mimi na dada yangu, Chaa ajabu nilienda mwaka juzi 2023 nikakuta hakuna faida yoyote tokea tulivyowekewa na mama,na hatukuwahi kuchukua gawio lolote.. Nilivunjika moyo sitaki kusikia kabisa hili swala
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wa Kilimanjaro

    Sijaona wa Uru
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

    Sio poa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Record ya kipekee kwa timu ya Simba Sc, Camara kipa wa Simba anadaka first eleven ya Guinea na Manula kipa wa Simba anadaka first eleven ya Stars

    Ni wakati wa Aishi Manula kuwa katika 1st eleven kwenye club yake kwa uhai na maendeleo ya mpira katika taifa letu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

    Nadhani tungenza na Steve Nyerere kipindi cha msiba wa Kanumba kama fundisho yasingetokea yote haya
  10. C

    JamiiForums Tanzania Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

    Sidhani km huyu binti alikuwa anajibizana na PM Kabla ya kauli ya PM kwamba akamatwe kulikuwa na kurushiana vijembe na watesi wake hasa wale wanaofanya biashara kama yake, huku wakidai ni tapeli hzo pesa haziendi kwa wahusika zinaenda mfukoni kwake Mbaya zaidi hapo ametoka kuzindua duka Lake...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Anayesema Yanga imeshuka anatumia moyo badala ya ubongo kufikiri

    Ukizungumilzia swala la waamuzi ni homa kwenye ligi yetu,killa timu imeshaonja kadhia hii, Shida inakuja kwa mashabiki ,timu yako ikinufahika na maamuzi ya referee hakuna shabiki atakae kemea hilo swala,ila ikitokea timu yako ndio imeonewa basi inakua kelele mwanzo mwisho..... Kwa kumaalizia kwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kilimo na biashara ya mkonge/ katani Tanzania

    Hongera sana mkuu,endelea kutupa updated tuzidi kuimarika km darasani
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuagiza mabasi ya mwendokasi ya dizeli baada ya kukamilika kwa Bwawa la Nyerere itakuwa ni kipimo cha ujinga kwa Watanzania

    Kuna lecturer aliwahi kuniambia,ukiwa umetokea familia masikini then ukubwani ukapata uongozi,basi ni rahisi kurubuniwa kwa fedha ndogo tu ikasababisha uipoteze jamii yako yote
Back
Top Bottom