Recent content by Coco J

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana FEZA Schools, hakika mnaonyesha njia

    hii shule ndiyo ilivyo kuchagua watoto wa viongozi kuenda kushiriki katika mashindano mbalimbali. nakumbuka kulikuwa na lile shindano la kuimba ambalo lilikuwa linajumuisha mataifa zaidi ya 100, lilikuwa likifanyika uturuki kila mwaka, hakuna mtoto wa kiongozi ambaye hakuwahi kuenda hata kama...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kiswahili chenye lafudhi yenye mvuto

    tanga na mombasa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kelele zinazosikika kutoka makanisani usiku...

    sauti zikitokea nyumba za ibada ndiyo zinakuwa kelele! ila zikitokea sehemu nyingine zinakuwa burudani! binadamu! subiri wengine watasema kelele zinatokea msikitini.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Gay marriage declared legal across the US in historic supreme court ruling

    "In the same way the men also abandoned natural relations with women and were inflamed with lust for one another. Men committed shameful acts with other men, and received in themselves the due penalty for their error". Romans 1:27 "Indeed, those who like that immorality should be spread...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar kwa mara ya kwanza

    ahahah...! usisahau passport, ni muhimu sana.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mariam wa Zanzibar awajia juu Zantel, atishia kufichua siri zao

    hivi huwezi kutoa malalamiko yako mpaka utukane?! halafu ameanza na "assalam aleykum" hmmm
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji anayevutia kwa lugha ya Kiswahili

    salim kikeke.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wajanja wa Kiswahili mnipe jibu ya hii

    a)kumi na moja elfu b)elfu kumi na moja...lol
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wadada na Wakaka wengi waliokwenda nje kusoma/kufanya kazi, wanarejea wakiwa hoi

    tarehe 30 mwezi huu narudi baada ya safari yangu ndefu kutafuta elimu(5yrs). nawaahidi nitaweka tangazo humu la ajira kwa wenye kuhitaji. kwa wale wenye kutafuta ajira kuweni tayari. MUNGU YU MWEMA
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commision for Universities- kujitoa kwa MOROGORO ISLAMIC UNIVERSITY

    "this page cant be displayed"
  11. C

    JamiiForums Tanzania Bahati mbaya au bahati nzuri: Matumizi sahihi ya haya maneno

    bahati mbaya, mara nyingi huwa inatumika katika mambo ambayo kwa macho ya kawaida ya ubinadamu yanaona kuwa jambo fulani lingetokea/linatokea/ linataa kutokea, matokeo ya jambo hilo ikiwa likitokea basi matokeo yake yatakuwa mazuri ama yataleta faida. lakini sababu jambo halijatokea basi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    anahitaji mwanza mjini.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wakenya hawatupendi Watanzania?

    kuna wengine humu wanasema wakenya wana roho mbaya na wanachukia watz lakini ukiwa nje ya tz ni bora ukutane na Kenyans kuliko watz. watz ni waongo waongo, wanafiki na chuki wenyewe kwa wenyewe. roho mbaya wala haina utaifa.
  14. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    hapana, nilikuwa nahitaji kutokea mwanza ndugu.
  15. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kutokea mwanza mjini.
Back
Top Bottom