Wajanja wa Kiswahili mnipe jibu ya hii

Wajanja wa Kiswahili mnipe jibu ya hii

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,574
Reaction score
53,613
10253773_857924464285364_4792727860638539717_n.jpg
 
a)kumi na moja elfu
b)elfu kumi na moja...lol

Umenifurahisha sana mimi kama teacheri wa kiswahili nakupa vema kuuubwaaa

Ila waweza pia sema
1. Kumi na moja elfu/elfu kumi na moja
2. Kumi elfu na moja
 
MK254 ushakaribishwa TZ, una swali lingine????????????????
 
Last edited by a moderator:
a) 11, 000 - Kumi na moja elfu
b) 10,001 - Kumi elfu na moja
 
Back
Top Bottom