Jairos
Member
- Apr 19, 2015
- 31
- 9
wajua paka na mbwa kila mmoja hujiona mbabe kwa nyakati tofauti ndio kenya na Tanzania zilivo kenya anajiona superior sababu ya uchumi bendera wao so ana mchukia sana mbongo cos uchumi wake uko stable sana mfukoni mwa mtu binafsi daima anae kuzidi mfukon lazima umletee wivu 2