Mbona muslims make noise everyday in alfajiri na hatupigi kelele?? Au ww ndo special sana,?,
Siyo kweli, wakristo wamezidi ndgyangu lazima tuwe wakweli. Wanaweza kupiga music masaa hata zaidi ya matano mfululizo mpaka utaumwa kichwa. Kiukweli wana KERO KUBWA sio kidogo. Tena unaweza kuta ni ktk nyumba ya mtu tu, na hivi kila mtu anaanzisha dhehebu au kanisa lake basi shida tupuMbona muslims make noise everyday in alfajiri na hatupigi kelele?? Au ww ndo special sana,?,
Mleta mada kauliza swali zuri, nashangaa watu mnavyopata mihemko ya kidini, ukweli ni kwamba hizo kelele za spika zao usiku zinakera, kama ni maombi kwa Mungu kwani lazima wapige kelele mtaa mzima? Kwanini wasizungumze naye kwa sauti ya utaratibu?. Mungu mwenyewe anasema "tena msalipo msipayuke payuke kama watu wasio na imani" Mungu wetu ni wa utaratibu sio Mungu wa fujo na makelele usiku mzima, kwa nini wasipunguze sauti wakasikilizana wao kwa wao wanaoomba? kwani Hugo Mungu wao no kuziwi? Ukweli wanakera sana na makelele yao. Watoto wadogo wanapata shida hawalali kwa kelele zao. Wagonjwa.. Nk. Halafu watu mnatetea? Kisa eti dini. Wapunguze sauti za spika zao bana ni kero. Hakuna mahali popote katika biblia Yesu alipofanya kelele za namna hiyo. Kila jambo na wakati wake na mahali lake... Someni biblia yenu vizuri kuweni chumvi ya ulimwengu na siyo kuwa kero kwa ulimwengu!
Yeyote anayehisi kelele na akajisikia vibaya wakati wa maombi ya waliookoka nakusaidia tu kwa upole na urahisi kabisi jitambue tu una mapepo hivyo suluhu sio kuwachukia waombaji nenda tu kimya kimya waombe wakuombee na ndipo utajua kumbe haukuwa sawa, pole.
Mleta mada kauliza swali zuri, nashangaa watu mnavyopata mihemko ya kidini, ukweli ni kwamba hizo kelele za spika zao usiku zinakera, kama ni maombi kwa Mungu kwani lazima wapige kelele mtaa mzima? Kwanini wasizungumze naye kwa sauti ya utaratibu?. Mungu mwenyewe anasema "tena msalipo msipayuke payuke kama watu wasio na imani" Mungu wetu ni wa utaratibu sio Mungu wa fujo na makelele usiku mzima, kwa nini wasipunguze sauti wakasikilizana wao kwa wao wanaoomba? kwani Hugo Mungu wao no kuziwi? Ukweli wanakera sana na makelele yao. Watoto wadogo wanapata shida hawalali kwa kelele zao. Wagonjwa.. Nk. Halafu watu mnatetea? Kisa eti dini. Wapunguze sauti za spika zao bana ni kero. Hakuna mahali popote katika biblia Yesu alipofanya kelele za namna hiyo. Kila jambo na wakati wake na mahali lake... Someni biblia yenu vizuri kuweni chumvi ya ulimwengu na siyo kuwa kero kwa ulimwengu!
Mimi nafikiri wa kulaumiwa hapa ni serikali kwa kutokupanga miji kwa mujibu wa sheria za ardhi.