Recent content by Cobrahypnosis

  1. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

    tuliwakimbiza kwa njia hizi 1. Tuliscim Dali vizuri na kuhakikisha halishushi vumbi au upenyo wowote alafu tukamwaga pilipili za unga kama debe moja, hapa ni kiboko hakuna panya atakaa au kupita eneo la dali lililo na pilipili ya unga 2. Hakikisha nyumba yako juu ya bati kwene kingo za kuta...
  2. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

    Kwamba mwamba kapigika kweli?. Juzi katoka shopping ya milioni tisa
  3. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

    Aloooo
  4. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania LAPTOP ULTRABOOK FOR SALE

    Bado ipo Boss
  5. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanya application za vyuo vya ualimu ngazi ya diploma?

    Habari. Kwasasa huna sifa za kusomea diploma ya ualimu wa shule za msingi. Kwa mujibu wa miongozo mipya ili mtu asomee diploma ya ualimu ni lazima awe muhitimu wa kidato cha sita kuanzia ufaulu wa division 1 mpaka 3 na kupata principal pass mbili.
  6. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania Operation ya Matajiri kununua maghorofa Kariakoo inatisha

    😅😂 hawa hawa wakinga wauza nguo na makava ya simu au wakinga wapi hao. Mwana jf angalia watu tusianze kushusha takwimu za wachaga hapa maana hii battle ilishajadiliwa na mjadala wake kufungwa. Ni juzi Tu wakinga walikuwa wanalalamika kuwa wachaga wanawapiga kwene Mbao Maana wachaga ndio...
  7. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan Patrol inauzwa Milioni 45 tu. Ipo Dar

    hili hata 20M nikushukuru iwapo utampata mteja, hii nayo ni ndoa ya kikristo. tulilitoa letu mwezi juzi kwa 23M tena lilikuwa zimaa na linatembea. usiombe lianze kutaga maana naona lako halina hata upepo.
  8. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania Seeking Credible Company or Individual for Printing College Certificates

    🌟 Seeking Credible Company or Individual for Printing College Certificates 🌟 Are you a reputable company or individual with a proven track record in printing academic certificates? We are in need of your services! Requirements: 1. Demonstrated experience in printing official academic...
  9. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania Chuo gani cha Cha community Development kinatoa certificate online?

    upo wapi mtaalamu kuna sehemu anahitajika mtu wa maendeleo ya jamii huko songwe. s
  10. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

    bwana mohamed said maisha yako yote unaishi kwa hofu kubwa na mashaka moyoni dhidi ya kanisa katoliki takatifu la mitume wa kweli, nafurahi sana kuona kanisa katoliki na wakatoliki wanaishi kichwani kwako bila kodi wala gharama yoyote na pale uwaonapo basi unalipuka kwa hasira hofu na chuki...
  11. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Nawakumbusha tupo 2024, Nyerere hatunaye toka 1999, madarakani alitoka miaka ya 80 huko.
  12. Cobrahypnosis

    JamiiForums Tanzania Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

    Ferre gola ni habari nyingine. Namkubali sana huyu mwamba
Back
Top Bottom