Pole sana aisee! Ushauri wa watu wote Jitahidi uufanyie kazi! Mama anahangaika na vitu vyake mwenyewe! Ushauri wangu kama unajitegemea;
1. Mchukue Mama kaa naye kwa muda, hapo ni rahisi kuchukua gari pia lake.
2. Mwambie Mama mdogo unataka nyumba ya Mama ili kwamba sasa hali ya kodi ya nyumba...
Pole sana hapo umepata bahati mbaya! Ushauri mm nafikiri ungemwacha huyo mpya maana huwezi kukufanyia hivyo kwa mtu anayekupenda na utanyanyasika maisha yako yote! Ni afadhali Ubaki kwa kaka wa kwanza ambaye hata kama humpendi sana Ila Upo salama kwa maisha ya mapenzi Ila pia kwa afya yako ya...
Hakuna Shida yoyote! Muda wako ukifika wa kuhitaji kufanya utafanya. Faida ni kuwa na nidhamu na mambo ya sex. Vijana wengi wamekuwa wanachukulia sex kama Michezo ya Kila siku wakati inatakiwa ichukuliwa Kwa umuhimu umakini na furaha kwa mtu ambaye umemchagua ww kushiriki naye.
Pole sana dada! Ukweli siku zote utakuweka huru! Kwanza msamehe mama, pili mpende mama, tatu tafuta namna ya kumwelimisha kuhusu mitandao na mwisho mueleeleze tatizo lake. Naamini atakuelewa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.