Wazazi wananichanganya

Wazazi wananichanganya

Wnawake ni hodari kalalamika ...we kama umemua fanya tu asilete uchonganishi maana hayakuhusu ya yeekuteswa sijui kama anavyodai..
 
Kwanini mama akuhusishe kwenye vita ya wazazi wakati wewe ni mtoto wa damu wa ukoo huo? Jenga kwa babu bila kumshirikisha mama maana ukiacha na wakati ulikwisharopoka, utaelewekaje na baba yako pamoja na babu?
 
wamama ni wabinafsi siku zote. ukimwambia unarekebisha kwao hatapinga. ndivyo wanawake walivyo.
 
Kwanini mama akuhusishe kwenye vita ya wazazi wakati wewe ni mtoto wa damu wa ukoo huo? Jenga kwa babu bila kumshirikisha mama maana ukiacha na wakati ulikwisharopoka, utaelewekaje na baba yako pamoja na babu?

Babu alishakufa.
 
Hii ishu mimi nimeiangalia kwa jicho la tatu, nimegundua mama yupo sahihi kwa mtazamo wa kwake,
Labda nikuulize, ndugu wa baba ako wapo hai pia?

Nitarudi baadae.
 
Babu alishakufa.
Pole sana. Kama Babu alishakufa, tumza hela kimya kimya bila kumshirikisha baba wala mama, waache wagombane,wakichoka karabati kwa Babu baadae bila kuwashirikisha. Hata wakijua baadae usijali, Baba ni wa kwako na mama ni wako pia, ukizifuata tofauti zao utajikuta unashindwa kuelewa kwa kuelekea. Kingine ni kuwa, mama anapaswa kutambua kuwa wewe si mtoto mdogo ingawa amekuzaa na una maamuzi pia,hivyo muonyeshe kuwa nia yako ni kuwaunganisha na si kuwatenga kwa kuwaonyesha upendo bila kubagua kama mtu mwenye akili timamu na alie na maamuzi binafsi.
 
Habari za w.end wapendwa.Samahani naomba ushauri.Mimi ni binti (umri 25) niliyetoka kwenye familia ya hali ya kati hivyo pesa kidogo ninayo pata hua napenda kuwafanyia jambo la kuwafurahisha wazazi wangu.

Ikumbukwe mim ndo mkubwa na wazazi wangu wanaishi pamoja

Shida inakuja pale unapotaka kufanya jambo,m hupenda kuwashirikisha wote japo kuna mda mama nampendelea zaidi.

Sasa nilitaka malizia ujenzi kwa babu/upande wa baba,maana baba alijenga akaishia sehem na wadogo zake hawampi support.

Ndipo nifanye ukarabati nyumban kwa babu wa mama na ya wazaz(siyo kwamba ni mbaya kama ni depreciation bas ni 10%-15%).
Lakin mama kanijia juu kwanini nataka kutengeneza kwa babu mimi ni mjukuu sitakiwi kugusa kule.kaongea maneno mengi sana hadi na naumia.

Nimejaribu kumweleza kua m nyumbani ntazidi kuhudumia ila nguvu nyingi nitupie kwa babu kwanza,hanielewi.Ananikumbusha tu jinsi ndugu wa upande wa baba walivyo mtesa afu m naenda tena kuwasaidia.

Hapo hapo baba anasema yaani mwanangu ukinipa support hapo tu basi m ntakua na amani sana.

Jamani nifanye wakubwa zangu.sipendi na sitaki hili jambo lilete mpasuko kati ya wazazi au mm na wao..

samahan kwa mwandiko mbaya
Bila shaka umegundua umimi wa mama mzazi wako, angetamani vyote umfanyie yeye.kimsingi dhamira ya moyo wako iko sahihi sana, isikilize nia ya dhati iliyo ndani ya moyo wako. mama yako mzazi iko siku atakuja kujua ubaya wa anacho taka kupandikiza kwako. Mungu ndio anajua unacho waza kuwa ni chema, endelea na wazo ulilo nalo.hongera sana.
 
Pole sana dada! Fanya unachotaka kufanya Ni Jambo Jema ! Omba kwa Mungu maneno ya kuongea na mama ili aelewe nia njema yako.
 
Hii ishu mimi nimeiangalia kwa jicho la tatu, nimegundua mama yupo sahihi kwa mtazamo wa kwake,
Labda nikuulize, ndugu wa baba ako wapo hai pia?

Nitarudi baadae.
Wapo hai.ila kwakua hawafanyi na mm ninauwezo wa kufanya basi nikae tu kwa kigezo cha ujukuu..hapana kwangu haingii akilini ndungu
 
Endelea Na ulivyopanga Na muweke mama chini umueleweshe kuwa ubaya haulipwi kwa ubaya.!
 
Kifupi we kafanye huo Ujenzi usimsikilize mama yako. Kwani mwisho wa siku atakuelewa tu. Pia baraka utakazo vuna ni zakwako peke yako. Fanya linalo kupedeza wewe. Period
 
Nyinyi vijana under25 age pesa mnazitoa wap mnaanza kujenga sisi wenye 30's bado tunahaso kwenye nyumba za kupanga...
Lin umesoma na kumaliza na kupata kaz,,upo kazin miaka mingap? Mpaka ukamjengee babu nahis mjengo wako tayar umeisha
Ila hongera bhana.....hahahahahaha ila mpe pesa baba akajenge mwenyewe
 
Yani wewe ni binti wa kupigiwa mfano, Pokea pongezi zangu kwanza!
Kiukweli mama yako anakosea na hatoi mfano mzuri maana anataka kutengeneza matabaka kwenye familia moja!
Chakufanya endelea kumuelewesha mama ataelewa tu, lakini usiache kumalizia huo ujenzi kwa babu,
Hapo mama hata akitoa radhi haikupati, maana uko kwenye haki
 
Endelea na project, mama atakuja kukuelewa baabaye, ukumbuke mama hakukasirikii wewe bali ni hasira na kumbukumbu mbaya za zamani...... Go Girl!
 
Habari za w.end wapendwa.Samahani naomba ushauri.Mimi ni binti (umri 25) niliyetoka kwenye familia ya hali ya kati hivyo pesa kidogo ninayo pata hua napenda kuwafanyia jambo la kuwafurahisha wazazi wangu.

Ikumbukwe mim ndo mkubwa na wazazi wangu wanaishi pamoja

Shida inakuja pale unapotaka kufanya jambo,m hupenda kuwashirikisha wote japo kuna mda mama nampendelea zaidi.

Sasa nilitaka malizia ujenzi kwa babu/upande wa baba,maana baba alijenga akaishia sehem na wadogo zake hawampi support.

Ndipo nifanye ukarabati nyumban kwa babu wa mama na ya wazaz(siyo kwamba ni mbaya kama ni depreciation bas ni 10%-15%).
Lakin mama kanijia juu kwanini nataka kutengeneza kwa babu mimi ni mjukuu sitakiwi kugusa kule.kaongea maneno mengi sana hadi na naumia.

Nimejaribu kumweleza kua m nyumbani ntazidi kuhudumia ila nguvu nyingi nitupie kwa babu kwanza,hanielewi.Ananikumbusha tu jinsi ndugu wa upande wa baba walivyo mtesa afu m naenda tena kuwasaidia.

Hapo hapo baba anasema yaani mwanangu ukinipa support hapo tu basi m ntakua na amani sana.

Jamani nifanye wakubwa zangu.sipendi na sitaki hili jambo lilete mpasuko kati ya wazazi au mm na wao..

samahan kwa mwandiko mbaya
Pesa ni yako na maamuzi ni yako. Bila ya babu hata wewe usingezaliwa. Mama atabaki kuwa mama siku zote. Fanya unachotaka kufanya, mama atatulia siku ukihamia kufanya ukarabati upande wake.
 
Back
Top Bottom