Nini madhara ya mwanaume kukaa muda mrefu bila kufanya sex au faida zake ni zipi?

rootsquare

Member
Sep 30, 2016
30
48
Habari wana JF

Napenda kuuliza nini madhara kwa mwanaume au faida ni zipi pale mwanaume anakaa muda mrefu bila kufanya mapenzi yaani kukutana na mwanamke kimapenzi.

Ukiacha zile za kusave hela maana najua kuna wengine watasema hivyo wasiopenda kuchunwa
 
Inategemeana na mwanaume mwenyewe anamchukulia vp mwanamke.
Mwingne ni kama chombo tu cha starehe, hii haiwezi fanana na anaeona umuhimu ktk maisha ya kawaida.
 
kwanza turekebishane, ni "madhara" na sio "madhala"
pili kwa ufahamu wangu ni kwamba hakuna madhara yeyote yasababishwayo na kutokufanya sex kwa mda mrefu. thats all!!!
 
kwanza turekebishane, ni "madhara" na sio "madhala"
pili kwa ufahamu wangu ni kwamba hakuna madhara yeyote yasababishwayo na kutokufanya sex kwa mda mrefu. thats all!!!
Na wewe pia tukurekebishe. Andika "madhara yoyote" na siyo "madhara yeyote". Neno "yeyote" linatumika kwa kiumbe au kitu chenye uhai na "yoyote" ni kinyume chake. Kwa mfano, huwezi kusema "mtu yoyote". Unatakiwa useme "mtu yeyote".
 
Mkuu yupo sahihi kabisa ni yeyote sio yoyote
 
Hakuna Shida yoyote! Muda wako ukifika wa kuhitaji kufanya utafanya. Faida ni kuwa na nidhamu na mambo ya sex. Vijana wengi wamekuwa wanachukulia sex kama Michezo ya Kila siku wakati inatakiwa ichukuliwa Kwa umuhimu umakini na furaha kwa mtu ambaye umemchagua ww kushiriki naye.
 
Haina madhara, lakini kwa upande wa faida ni kwamba humsaidia kiafya kwasababu mtu anayefanya sana hudhoofika kiafya kwa kupoteza nguvu nyingi tofauti na mwanamke ambaye sperms toka kwa mwanaume hujenga mwili, pili kuepuka magonjwa ya zinaa kama vile kaswende,ukimwi n.k,tatu ni kutopoteza muda japo si ya kisayansi n.k
 
Faida za kutofanya mapenzi kwa mda mrefu
1-kupunguza stress na kupelekea afya mzuri
2-kupunguza mimba zisizotarajiwa
3-kutengeneza hamu na tension ya mapenzi
Hasara za kutofanya mapenzi mda mrefu
1-hupelekea kupoteza hamu ya mapenzi
2-hupelekea kukosa experience ya mapenzi na kushindwa kumrizisha mwenza
3-kushindwa kuzaliza kwakuwa hufikia orgasm kabla ya mwanamke
4-kukosa kujiamini wakiwa na mwanamke na kuchoka mapema wakati wa mćhezo
 
Back
Top Bottom